Rais Samia kufanya ziara nchini Oman kuanzia June 12

Rais Samia kufanya ziara nchini Oman kuanzia June 12

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya siku 3 nchini Oman mara baada ya kualikwa na kiongozi wa nchi hiyo.

Ziara hiyo itaanza Juni 12 mpaka Juni 15. Hii ni ziara nyingine ya Rais Samia katika kile anachokiita kuifungua nchi kiuchumi.
Maza anazurura sana bhanaa😬😬
ndio maana anatusumbulia wamasai wetu, ili kulipa fadhili kwa waarabu 😡😡😡😡😡😡😡😡
 
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya siku 3 nchini Oman mara baada ya kualikwa na kiongozi wa nchi hiyo.

Ziara hiyo itaanza Juni 12 mpaka Juni 15. Hii ni ziara nyingine ya Rais Samia katika kile anachokiita kuifungua nchi kiuchumi.
Mama anaupiga mwingi
 
Kazi iendelee

Tanzanian President to visit Oman

MUSCAT: The President of Tanzania will be paying an official visit to Oman on Sunday,

President Samia Suluhu Hassan will be in Oman for three days.

More info :
On Omani Tanzania special relationship

08 June 2022

Greetings of His Majesty the Sultan conveyed to President of Tanzania​

By: ONA
Greetings of His Majesty the Sultan conveyed to President of Tanzania

During the meeting, the ambassador conveyed the greetings and wishes of good health and happiness of His Majesty Sultan Haitham bin Tarik to the Tanzanian President and to her country’s people further progress and prosperity.

Muscat: Saud bin Hilal Al Shizani presented his credentials as the Sultanate of Oman’s Extraordinary and Plenipotentiary Ambassador to the United Republic of Tanzania, when he was received by President Samia Suluhu Hassan of the United Republic of Tanzania in the Tanzanian capital of Dodoma, yesterday.
During the meeting, the ambassador conveyed the greetings and wishes of good health and happiness of His Majesty Sultan Haitham bin Tarik to the Tanzanian President and to her country’s people further progress and prosperity.
Source : Greetings of His Majesty the Sultan conveyed to President of Tanzania
 
Kama kuna ukweli wowote kuwa hawa ndugu zetu wa OMAN ndio wamo mstari wa mbele katika masuala ya kuhamisha Wamasai NGORONGORO...

Basi...

Achukue na ndege zote za ATCL na kubeba wanyama wa NGORONGORO badala ya UANGAMIZAJI wa Jamii za Wamasai na apeleke hao Wanyama...aende nao huko.

...zaidi ya hapo Safari yake hainihuzunishi. Kazi iendelee!
 
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya siku 3 nchini Oman mara baada ya kualikwa na kiongozi wa nchi hiyo.

Ziara hiyo itaanza Juni 12 mpaka Juni 15. Hii ni ziara nyingine ya Rais Samia katika kile anachokiita kuifungua nchi kiuchumi.
Sawa tuu kwani Kuna shida?
 
Back
Top Bottom