Rais Samia kufanya ziara nchini Oman kuanzia June 12

Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya siku 3 nchini Oman mara baada ya kualikwa na kiongozi wa nchi hiyo.

Ziara hiyo itaanza Juni 12 mpaka Juni 15. Hii ni ziara nyingine ya Rais Samia katika kile anachokiita kuifungua nchi kiuchumi.

Rais Samia kufanya ziara nchini Oman kuanzia June 12 bila kuambatana na mume wake Wala mke mwenza.​

Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya siku 3 nchini Oman mara baada ya kualikwa na kiongozi wa nchi hiyo.

Ziara hiyo itaanza Juni 12 mpaka Juni 15. Hii ni ziara nyingine ya Rais Samia katika kile anachokiita kuifungua nchi kiuchumi.

Mtoto yatima hadeki…mwache aende tushazoea shida…
 
Attachments

  • Screenshot_20220610-210028.png
    Screenshot_20220610-210028.png
    176 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220610-210036.png
    Screenshot_20220610-210036.png
    150.6 KB · Views: 4
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya siku 3 nchini Oman mara baada ya kualikwa na kiongozi wa nchi hiyo.

Ziara hiyo itaanza Juni 12 mpaka Juni 15. Hii ni ziara nyingine ya Rais Samia katika kile anachokiita kuifungua nchi kiuchumi.
Faida za hizo ziara ni nyingi sana ila mojawapo ni kama hii hapa 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220610-210036.png
    Screenshot_20220610-210036.png
    150.6 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220610-210028.png
    Screenshot_20220610-210028.png
    176 KB · Views: 4
Mikataba mikataba hiyo yote ni ujinga tu. Kazi zinaanza Lini baada ya kusaini hiyo mikataba?
 
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya siku 3 nchini Oman mara baada ya kualikwa na kiongozi wa nchi hiyo.

Ziara hiyo itaanza Juni 12 mpaka Juni 15. Hii ni ziara nyingine ya Rais Samia katika kile anachokiita kuifungua nchi kiuchumi.
Omani🤔
 
Azungumze nao kuhusiana na ujenzi wa bandari ya bagamoyo. Alete wawekezaji ili nchi isonge mbele.
 
Kama kuzurula ndio kukuza uchumi wa nchi, tungeingia uchumi wa kati na kisha kumpita Kenya kama kasimama enzi za Vasco, maana yeye katika miaka 10, miaka 4 yote amelala nje ya TZ akisingizia mikataba...mara kaenda kuomba vyandarua, mara kaenda kuomba R.Madrid waje nchini!

Walamba asali wanaelewa!
 
Back
Top Bottom