Rais Samia kufanya ziara nchini Oman kuanzia June 12

Hili suala yeye hata kulizungumzia halizungumzii kakaa kimya na ndio maana pia hajaona tatizo la kuondoka nchini kipindi hiki.
Issue serious sana hiyo. Bunge limezungumza walau na raisi angeliongelea kutoa direction
 
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya siku 3 nchini Oman mara baada ya kualikwa na kiongozi wa nchi hiyo.

Ziara hiyo itaanza Juni 12 mpaka Juni 15. Hii ni ziara nyingine ya Rais Samia katika kile anachokiita kuifungua nchi kiuchumi.
 
Rais Samia anachoizalishia nchi hii ni kidogo kuliko anachokitumia. Hata makamu wake wa Rais hazalishi hata sent tano ni kutumia tu:​

Aende akahakikiahie mfalme kuwa bandari bagamoyo ipo na lazima ijengwe
 
Ingekuwa ni hasara,matunda haya yasingepatikana [emoji116]
Kwani hata wangetaka kutua bila mkataba tungewazuia kwa serikali hii?? Wao wanajua fika sie hatuwezi kutua kwao. Yaani mambo yanayofanyika sasa nchi sio ya kunufaisha tanzania ila ya kurahisishia mabeberu ubebaji wa rasilimali zetu.
 
Tulioomba kutua ni sisi kwa sababu hatuna sifa za kutua huko kwa hiyo ikalazimu mkataba maalumu kama preferential fulani..
 
Back
Top Bottom