Rais Samia kufanya ziara nchini Oman kuanzia June 12

Rais Samia kufanya ziara nchini Oman kuanzia June 12

Wanaharakati koko wataiunganisha safari hii na huu uzushi wao unaoendelea sasa hivi. Ila mwisho wa siku aibu itakuwa yao tu. Lets wait.
Gazeti la "The Washington Post" liliandika kuwa Samia aliahidi kutoa Wanyama bila kuombwa.



Hii kitaalam tunasema kujipendekeza
 
Sijui Lukuvi anajisikiaje huko aliko maana kwa jinsi alivyowasema Oman kule kanisani kwao [emoji23][emoji23]

Mama fungua nchi watu wapate hela
Tumechelewa sana
Kikwete aliwaahidi kuwa dual citizenship ikianza Wa Oman watakuwa wa kwanza kupewa
Kuna mdau kwenye Uzi ule wa Ufunguzi wa Msikiti alisema
Mama kabla ya jumanne atakuwa Oman sasa sijui yumo kwenye system huyo ama ?
 
Sasa kuyanunua na kuyapaki itakusaidia nini? Hata yasingekuwepo, makubaliano yangenufaisha kampuni zingine zinazoplay hapa Tanzania.
Kwani safari za India zilianza lini? Au unafikiri hapo kwakuwa wamesaini leo safari itaanza mwezi ujao? Itachukua mwaka hapo kuanza safari tena kwa shirika dogo kama letu ambalo hawajajilidhusha nalo ndo kabisa!

Au unafikiri safari za china mpk zinaanza zilichukua mda gani baada ya makubaliano? Zilichukua miaka 2-3 mpk ndege kuanza kutua china.
 
Kwani safari za India zilianza lini? Au unafikiri hapo kwakuwa wamesaini leo safari itaanza mwezi ujao? Itachukua mwaka hapo kuanza safari tena kwa shirika dogo kama letu ambalo hawajajilidhusha nalo ndo kabisa!

Au unafikiri safari za china mpk zinaanza zilichukua mda gani baada ya makubaliano? Zilichukua miaka 2-3 mpk ndege kuanza kutua china.
Wewe hapo nimeweka safari za India au Marekani? Nani anazungumzia India?

Hata India Nako Mwendazake alivuruga kila kitu.
 
Wewe hapo nimeweka safari za India au Marekani? Nani anazungumzia India?

Hata India Nako Mwendazake alivuruga kila kitu.
Safari za India zilianza mapema zaidi kabla ya China, zilikuja kusimama baada ya Covid 19, Safar za China makubaliano yalifanyika kabla ya ata ya uchaguzi mkuu 2020 ila zikaanza 2021 mwishoni.

Ninachojaribu kukueleza ni kuwa hizo safari zote za Airtanzania, leo unasherekea Airtanzania kusaini makubaliano na USA na Airtanzania kutua kwenye vianja vya USA, sasa bila uwepo wa ndege hizo ungesaini kitu gani? Na ndiyo maana kwanza unatakiwa uwe na kitu mkononi ndo unaingia kwenye makubaliano, kama huna kitu mnakubaliana nn?

Nimekupa mifano ya hizo nchi lengo ujue ata kama wamesaini juzi basi hizo safari mpk kuanza lazima Airtanzania wakamilishe masharti ambayo wamepewa na USA, na masharti hayo ndo huwa yanachukua mda mrefu kukamilishwa kias uenda ata mwaka mzima safari zikiwa hazijaanza bado.
 
Hii nchi tumemkosea nini muumba.

Rasmi sasa Anaenda kuwakabidhi hati ya umiliki wa ngorongoro..daah inasikitisha sana asee.

#MaendeleoHayanaChama
 
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya siku 3 nchini Oman mara baada ya kualikwa na kiongozi wa nchi hiyo.

Ziara hiyo itaanza Juni 12 mpaka Juni 15. Hii ni ziara nyingine ya Rais Samia katika kile anachokiita kuifungua nchi kiuchumi.
Anaenda kumuona sheikh ALHADI wa huko ammalizie mgao wake
 
Huo ni mkakati wa watu ambao hawajaenda shule. Haujawahi kufanikiwa tokea kuumbwa kwa binadamu.

Na hakuna mwenye ukirtimba wa kuua. Msome A. Karume wa Zanzibar na Samuel Doe wa Liberia kwa kuanzia.
 

12 June 2022​

Muscat , Oman​

Tanzanian President to visit Oman​

1655030069052.png

President Samia Suluhu Hassan of the United Republic of Tanzania will pay an official three day visit to the Sultanate of Oman starting from Sunday.

A statement issued today by the Diwan of Royal Court reads as follows: “In reiteration of the advanced and historical relations binding the Sultanate of Oman and the United Republic of Tanzania and the strong ties between their peoples, President Samia Suluh Hassan of Tanzania will pay an official visit to Oman starting from Sunday 12 June 2022 till Tuesday 14 June 2022. https://fm.gov.om/رئيسة-جمهورية-تنزانيا-تزور-سلطنة-عُما/?lang=ar

The visit reflects the keenness of His Majesty Sultan Haitham bin Tarik and President Samia Suluhu Hassan on promoting bilateral relations to serve joint interests in all spheres.

During the visit, viewpoints on various aspects will be exchanged in a bid to achieve the aspirations of both countries and promote joint cooperation.

May the Almighty Allah grant the leaderships of both countries success to serve their interests!”

Source : Tanzanian President to visit Oman - FM.gov.om
 
Back
Top Bottom