12 June 2022
Muscat, Oman
Sultani wa Oman maulana Haitham bin Tariq Al Said ampokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan na kupigiwa miziga 21
Rais Samia Suluhu Hassan ameongozana ujumbe mzito wakiwemo Mh. January Yusuf Makamba waziri wa Nishati, Mh. Dr. Pindi Chana waziri wa utalii , naibu waziri mambo ya nje balozi Mbarouk Nassor Mbarouk, Dr. Khalid Salum Mohamed waziri wa majenzi na makazi SMZ, naibu katibu mkuu wizara ya mambo ya nje Mh. balozi Fatma Mohammed Rajab na balozi wa Tanzania katika sultanate ya Oman mh. balozi Abdallah Abasi Kilima