Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Kufahamu ziara nyingine alizofanya Rais Soma Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Mar 2021
Maza anazurura sana bhanaa😬😬Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya siku 3 nchini Oman mara baada ya kualikwa na kiongozi wa nchi hiyo.
Ziara hiyo itaanza Juni 12 mpaka Juni 15. Hii ni ziara nyingine ya Rais Samia katika kile anachokiita kuifungua nchi kiuchumi.
Hivi huwa mna matatizo gani? Mbona hajatajwa popote kwenye uzi.Tanzania Ina historia kubwa kidiplomasia, yule mwingine alikuwa na water pump asingeweza kusafiri umbali mrefu kwa ndege, sumaku zingekavuta kale ka nanii, pia lugha ilikuwa tatizo
Mipuuzi sana hii mijituHivi huwa mna matatizo gani? Mbona hajatajwa popote kwenye uzi.
Mama anaupiga mwingiRais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya siku 3 nchini Oman mara baada ya kualikwa na kiongozi wa nchi hiyo.
Ziara hiyo itaanza Juni 12 mpaka Juni 15. Hii ni ziara nyingine ya Rais Samia katika kile anachokiita kuifungua nchi kiuchumi.
Sawa tuu kwani Kuna shida?Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya siku 3 nchini Oman mara baada ya kualikwa na kiongozi wa nchi hiyo.
Ziara hiyo itaanza Juni 12 mpaka Juni 15. Hii ni ziara nyingine ya Rais Samia katika kile anachokiita kuifungua nchi kiuchumi.