Rais Samia kufanya ziara ya siku mbili Nchini Kenya kuanzia 04|05|2021

Ungekuwa unakaa Arusha, Kilimanjaro au Tanga ndio ungejua umuhimu wa biashara kati ya Kenya na Tanzania.

Wewe upo Namtumbo huko umevimbiwa supu ya utumbo wa nguruwe unaweza kuandika chochote unachotaka.
Kwa comment Hii bila Shaka wewe ni mjinga na mpumbavu...unadhani mpaka uko Kilimanjaro na Arusha tu?! Kama was Namtumbo amevimbiwa utumbo wa nguruwe wewe umevimbiwa na Nini ?; Hivi hujui kuwa Namtumbo ina community kubwa ya waislamu?!
 
mama yuko vizuri sana ,she is genius ,calm and collected slow bt sure anajua anachokifanya, kuongoza nchi sio sawa na kuongoza familia, diplomasia ni muhimu sana ,na mama ameshasema "ukitaka kuenda mbali nenda pekee na ukitaka kuenda mbali zaidi nenda na wenzako"
 
Kenya is an opportunistic state - handle it with care!
 
Kwa comment Hii bila Shaka wewe ni mjinga na mpumbavu...unadhani mpaka uko Kilimanjaro na Arusha tu?! Kama was Namtumbo amevimbiwa utumbo wa nguruwe wewe umevimbiwa na Nini ?; Hivi hujui kuwa Namtumbo ina community kubwa ya waislamu?!
Naona unaanza kuchochea vita ya kidini....

Huko Namtumbo kuna wakristo pia.

Nb. huo ni mwaka wako wa kuzaliwa wewe au TANU?
 
Kwa comment Hii bila Shaka wewe ni mjinga na mpumbavu...unadhani mpaka uko Kilimanjaro na Arusha tu?! Kama was Namtumbo amevimbiwa utumbo wa nguruwe wewe umevimbiwa na Nini ?; Hivi hujui kuwa Namtumbo ina community kubwa ya waislamu?!
Pole sana. Itachukua miaka 20 ujinga wa Magofool kukutoka kichwani.

Kazi inaendelea!
 
Amna lolote ni msemo tu, dunia ya akuna cha bure bila kufanya kazi,anataka kutuletea ya awamu ya 4 ya Jk eti nisipo zurula watoto watakufa njaa maana naenda kuemea,hao Wakenya walimsumbua sana Jk kwenye utawala wake, mpaka wakawashawishi Kagame/Museven/Kinyata wakanzisha umoja wao, Mpaka bomba la mafuta lingelipitia Kenya kama asingelikuwepo Magufuri,sasa anarudi kulekule tulikotoka zamani za kuzurula tu,hatatue shida za Watanzania kwanza walionchagua,sio kuzurula hovyo,Kenya amna chochote sanasana kuwauzia nafaka tu, Wakenya walikuwa wezi wa Madini yetu baada Jpm kuingia madarakani akawapiga pini, uchumi wao umeyumba,wao ndio walikuwa wauzaji wakuu wa Tanzanate,dhahabu kuliko Tanzania, Baada ya Magufuri kufa wanatafuta pakutokea, ndio maana wameanza mialiko ya ajabu.Mama akituzingua nasi tunamzingua,asiturudishe Misri, atutaki kurudi kwenye taifa ombaomba.mungu ibariki Tanzania
 
Sam
Samia ni dhaifu sana,
Wewe ni nani ujulishwe agenda ya Rais wa nchi kutembelea nchi nyingine? Kwendraa! Agenda ya legacy imebuma sasa' mmebaki na visirani.
Yaani ndo mnadanganyana kwamba huyo mititi mikubwa atafuta legacy,mtapoteana sana
 
Sahihi ingawa huko ndio kumeyumba zaidi.
Hapana.

Sio "Huko ndiko kulikoyumba zaidi."

Ni kwamba huko kwingine hatupo kabisa, na hatuonyeshi juhudi za kutamamni kuwepo kwa majirani zetu wengine.

Tunatumia nguvu zote na huyu huyu tunayeyumba naye, kwa nini?
 
Anakula Bata huyo mama
 
Naona unaanza kuchochea vita ya kidini....

Huko Namtumbo kuna wakristo pia.

Nb. huo ni mwaka wako wa kuzaliwa wewe au TANU?
Yes Kuna community kubwa ya Waktieto na pia community kubwa ya waislamu...Sasa wewe unaona ni sahihi alivyosndika?
 
Inasikitisha sana.Kazi ya mabalozi ni nini? Hajamaliza kutembelea miradi mikubwa ndani ya nchi anazurura tu kwa gharama ya walipa kodi.Hakuna ziara hata moja yamsingi aliyoifanya Tanzania.ziara nchi kama Kenya masikini kama sisi itatusaidia nini?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Kenya is an opportunistic state - handle it with care!
Ningependa sana kuamini kwamba mama na wasaidizi wake wanao ufahamu mzuri wa hali hiyo; vinginevyo tusubiri tu mvuruganyo utakaofuata kama matokeo ya 'naivity' yao.
 
Sijui kama ni chuki binafsi au nini. Lakini hebu tuwe honesty - imekuwa kama utaratibu wa maraisi wa ukanda huu mara waingiapo madarakani hufanya ziara katika nchi jirani. Tulimpokea raisi wa Burundi, DRC etc so, anachofanya SSH si cha ajabu.
 
Mhhh haya mama ukitoka huko usisahau kupita United Kingdom.
 

..tatizo ni viongozi wa Tz, na Magu alikuwa sehemu ya uongozi huo.

..Jumuiya ya EAC imekuwepo tangu mwaka 1996 baada ya Mzee Mkapa kuingia madarakani.

..sasa toka wakati huo mpaka leo Watz tuna malalamiko yaleyale.

..kwanini miaka 25 tangu Jumuiya ianzishwe Watz bado tunaogopa ushindani na majirani zetu?
 
Ficha ujinga wako...Mama Samia amefanya ziara kibao mikoani akiwa VP,,,hakuna asichokifahamu kuhusu hii nchi. Tumuache Mama arudishe mahusiano ya kibiashara na majirani zatu.

Mama anataka kuongeza mapato...huwezi kuongeza mapato kama hufanyi biashara kubwa na nchi zinazokuzunguka.
 
..kwanini miaka 25 tangu Jumuiya ianzishwe Watz bado tunaogopa ushindani na majirani zetu?
Sijawahi hata siku moja kudhani kuwa "Tanzania inaogopa ushindani", sijui dhana hii inatoka wapi?

Ushindani si unyang'anyaji wa kutumia hila, au kuwa kituo cha unyang'anyi toka sehemu nyingine duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…