Pengine wana anchor interest za mabeberu katika EAC. Tumeshaona ile controversial contract walioingia na UK bila ya nchi za jumuia ya EA kuridhia.'In fact', wana hofu kubwa mno juu ya kuinuka kwa Tanzania.
Yote hayo uliyoyataja, na mengi zaidi yanayosubiri; kama mradi wa gesi ukikamilika Tanzania itakuwa ni tofauti sana na hii iliyopo sasa.
Ni viongozi wetu wakose tu akili, lakini hatuna lolote la kujitweza kwa Kenya.
Tatizo lao kubwa sasa ni kutaka kujiingiza kiaina ili wafaidike na miradi hiyo.
Kwa mfano, sasa wanajitambulisha kama "anchor nation", sijui wana'anchor' kitu gani kwa Tanzania!