PreGE2025 Tetesi: Rais Samia kufanya ziara ya siku mbili ya kiserikali nchini Kenya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Pamoja na ziara hiyo,atahutubia Bunge la Kenya!
Endelea kufuatilia ziara hiyo!
Awe na kifua maana atakutana na mabango asiyoyataka - huko si TZ wanamchi wana walau uhuru kutoa maduku duku yao.

Pia Rais wao kasema kutekwa na kupotea watu Kenya baasi - wa kwetu anasema watu kupotea ni mambo ya kawaida hata miaka ya 70 watu walikuwa wanapotea wakiemda kuokota kuni.
.
 
Kuna tetesi kuwa Rais Samia ataenda kufanya ziara ya siku mbili ya kiserikali nchini Kenya.

Pamoja na ziara hiyo, atahutubia Bunge la Kenya!

Ngoja tusubiri ziara hiyo kama itafanyika!

Wale Gen Z wataandama kwa sababu yake. Na kuna Wabunge watapiga mayowe wakati wa hotuba. Asiende huko kabisa kwa sasa!
 
Kuna tetesi kuwa Rais Samia ataenda kufanya ziara ya siku mbili ya kiserikali nchini Kenya.

Pamoja na ziara hiyo, atahutubia Bunge la Kenya!

Ngoja tusubiri ziara hiyo kama itafanyika!

Mimi nisingeenda. Yaani wale popote atapita atakutana na mabango mabaya sana. Kule ni katiba ndo watu wanaangalia
 
Kwani wakati mzee wa msoga anasema akili za kuambiwa changanya na za kwako mama alikuwa wapi?
 
labda anaenda kuaga, hata raisi kikwete pia alifanya ziara ya kuaga kenya kabla ya uraisi wake kuisha na alifika bungeni pia, kenya ni indirect boss wa tanzagiza ingawaje wengi hawataki kulikubali …
 
Kuna tetesi kuwa Rais Samia ataenda kufanya ziara ya siku mbili ya kiserikali nchini Kenya.

Pamoja na ziara hiyo, atahutubia Bunge la Kenya!

Ngoja tusubiri ziara hiyo kama itafanyika!
Atamtuma Philipo Mpango
 
Kuna tetesi kuwa Rais Samia ataenda kufanya ziara ya siku mbili ya kiserikali nchini Kenya.

Pamoja na ziara hiyo, atahutubia Bunge la Kenya!

Ngoja tusubiri ziara hiyo kama itafanyika!
We kibwengo ratiba ya Rais inajulikana, atakuwa Simiyu na Mwanza kwa wiki moja, baadaye ataenda Msumbiji then Mauritius. Sasa we bwege huo utumbo wako umeutoa wapi, eti tetesi, nia yako wenye akili tumeijua. Una laana mwanaharamu we
 
HAwezi kwenda, hata ulaya na marekani haendi teena ktk utawala wake.
Labda uarabuni kwa wajomba ndio anaweza kwenda.
 
Akakutane tu kiongozi hana maada za kusikiliza yeye tu naagiza,nasisitiza jeshi la polisi unyenyekevu . Kamanda mriro ,kizimkazi, tumejipanga mwaka huu mfanyeni siasa nzuri . Kuongelea maendelea na nini afanye kulinusuru taifa nk mfano wewe hapo utafatilia nini
Ruto na Mdavadi wanamdanganya.
 
Kuna tetesi kuwa Rais Samia ataenda kufanya ziara ya siku mbili ya kiserikali nchini Kenya.

Pamoja na ziara hiyo, atahutubia Bunge la Kenya!

Ngoja tusubiri ziara hiyo kama itafanyika!
Subuthu kule sio tz wataandamana aondoke bila kuaga..
 
Maji yakishamwagika hayazoleki...
Wale Gen Z wakisikia watakaa barabarani kuzuia msafara.

Kuna tetesi kuwa Rais Samia ataenda kufanya ziara ya siku mbili ya kiserikali nchini Kenya.

Pamoja na ziara hiyo, atahutubia Bunge la Kenya!

Ngoja tusubiri ziara hiyo kama itafanyika!
Aende tu akayajenge na wakenya Ili mahusiano yetu yakae vizuri. Sio kwa matusi Yale na fedha zote zile Kwa nchi yetu!
 
Kuna tetesi kuwa Rais Samia ataenda kufanya ziara ya siku mbili ya kiserikali nchini Kenya.

Pamoja na ziara hiyo, atahutubia Bunge la Kenya!

Ngoja tusubiri ziara hiyo kama itafanyika!
Wabunge wa Kenya wataruhusiwa maswali?
 
Back
Top Bottom