Awe na kifua maana atakutana na mabango asiyoyataka - huko si TZ wanamchi wana walau uhuru kutoa maduku duku yao.Pamoja na ziara hiyo,atahutubia Bunge la Kenya!
Endelea kufuatilia ziara hiyo!
Pia Rais wao kasema kutekwa na kupotea watu Kenya baasi - wa kwetu anasema watu kupotea ni mambo ya kawaida hata miaka ya 70 watu walikuwa wanapotea wakiemda kuokota kuni.
.