Awe na kifua maana atakutana na mabango asiyoyataka - huko si TZ wanamchi wana walau uhuru kutoa maduku duku yao.Pamoja na ziara hiyo,atahutubia Bunge la Kenya!
Endelea kufuatilia ziara hiyo!
Kuna tetesi kuwa Rais Samia ataenda kufanya ziara ya siku mbili ya kiserikali nchini Kenya.
Pamoja na ziara hiyo, atahutubia Bunge la Kenya!
Ngoja tusubiri ziara hiyo kama itafanyika!
Wale Gen Z wataandama kwa sababu yake. Na kuna Wabunge watapiga mayowe wakati wa hotuba. Asiende huko kabisa kwa sasa!Kuna tetesi kuwa Rais Samia ataenda kufanya ziara ya siku mbili ya kiserikali nchini Kenya.
Pamoja na ziara hiyo, atahutubia Bunge la Kenya!
Ngoja tusubiri ziara hiyo kama itafanyika!
Kuna tetesi kuwa Rais Samia ataenda kufanya ziara ya siku mbili ya kiserikali nchini Kenya.
Pamoja na ziara hiyo, atahutubia Bunge la Kenya!
Ngoja tusubiri ziara hiyo kama itafanyika!
Atamtuma Philipo MpangoKuna tetesi kuwa Rais Samia ataenda kufanya ziara ya siku mbili ya kiserikali nchini Kenya.
Pamoja na ziara hiyo, atahutubia Bunge la Kenya!
Ngoja tusubiri ziara hiyo kama itafanyika!
We kibwengo ratiba ya Rais inajulikana, atakuwa Simiyu na Mwanza kwa wiki moja, baadaye ataenda Msumbiji then Mauritius. Sasa we bwege huo utumbo wako umeutoa wapi, eti tetesi, nia yako wenye akili tumeijua. Una laana mwanaharamu weKuna tetesi kuwa Rais Samia ataenda kufanya ziara ya siku mbili ya kiserikali nchini Kenya.
Pamoja na ziara hiyo, atahutubia Bunge la Kenya!
Ngoja tusubiri ziara hiyo kama itafanyika!
Ruto na Mdavadi wanamdanganya.Akakutane tu kiongozi hana maada za kusikiliza yeye tu naagiza,nasisitiza jeshi la polisi unyenyekevu . Kamanda mriro ,kizimkazi, tumejipanga mwaka huu mfanyeni siasa nzuri . Kuongelea maendelea na nini afanye kulinusuru taifa nk mfano wewe hapo utafatilia nini
Subuthu kule sio tz wataandamana aondoke bila kuaga..Kuna tetesi kuwa Rais Samia ataenda kufanya ziara ya siku mbili ya kiserikali nchini Kenya.
Pamoja na ziara hiyo, atahutubia Bunge la Kenya!
Ngoja tusubiri ziara hiyo kama itafanyika!
Aende akutane na mayai viza..Hana ujasiri huo!
Hawezi kufanya hivyo hta siki mojaKuna tetesi kuwa Rais Samia ataenda kufanya ziara ya siku mbili ya kiserikali nchini Kenya.
Pamoja na ziara hiyo, atahutubia Bunge la Kenya!
Ngoja tusubiri ziara hiyo kama itafanyika!
Maji yakishamwagika hayazoleki...
Wale Gen Z wakisikia watakaa barabarani kuzuia msafara.
Aende tu akayajenge na wakenya Ili mahusiano yetu yakae vizuri. Sio kwa matusi Yale na fedha zote zile Kwa nchi yetu!Kuna tetesi kuwa Rais Samia ataenda kufanya ziara ya siku mbili ya kiserikali nchini Kenya.
Pamoja na ziara hiyo, atahutubia Bunge la Kenya!
Ngoja tusubiri ziara hiyo kama itafanyika!
Anaweza enda aongee na Ruto abembeleze beberu make hali si haliSio kweli, ziara zake za KARIBUNI hizi hapa kwa mujibu wa Msigwa baada ya kutoka Simiyu - Mwanza - Msumbiji - Comoros.View attachment 3367774
Wabunge wa Kenya wataruhusiwa maswali?Kuna tetesi kuwa Rais Samia ataenda kufanya ziara ya siku mbili ya kiserikali nchini Kenya.
Pamoja na ziara hiyo, atahutubia Bunge la Kenya!
Ngoja tusubiri ziara hiyo kama itafanyika!