Yaani Rais Samia unawapa kazi kubwa kweli chawa kukusafisha, kila wakianza kupiga hatua kuanza kuondoa tope unaenda kuogelea kwenye dimbwi kabisaaa usionekane hata ukucha.
Your browser is not able to display this video.
Yaani wanafanya maigizo ambayo yanakukandamiza wewe na kuzidi kuonesha picha mbaya nawe unashangilia na kupiga makofi kuonesha kuwa ume approve!
Yaani unazidi kuwapa sababu ya kupigia mstari statement yao kuwa hakuna zaidi ya mipasho kutoka kwako. Igizo hilo lilitakiwa lipigwe pini huko huko kabla hata watoto hawajaanza kukarishwa!

Utafanya wanawake wawe na kazi kubwa sana kuja kuchaguliwa kwenye nafasi za uongozi maana umeacha legacy mbaya nyuma yako.
Kitabu utakachokuja kuandika na kuomba msamaha wa kweli na uongo hazitasaidia.

Unaweza usiwe na elimu kubwa kama marais wengine waliopita lakini ndio ufeli hata kwenye washauri? Umeshindwa kupata washauri wanaokupa ukweli mchungu walau hata umalizie vizuri maana vya nyuma vimepita huwezi kuvifuta!

Kuacha watoto waigiza vichambo vyake kwa wananchi na halafu nao wakafurahia? Haya tuletee hiyo nchi na mfano wa kilichofanyika kama hivyo. Nchi nyingine wako serious na haki za watoto, huwezi ukakuta mzazi anakubali mtoto wake kuwa exposed kwenye ujinga kama huu