Pre GE2025 Rais Samia kugharamia matibabu ya Sativa hadi apone, aagiza uchunguzi wa tukio hilo

Pre GE2025 Rais Samia kugharamia matibabu ya Sativa hadi apone, aagiza uchunguzi wa tukio hilo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuna jamaa mmoja alikuwa anasema hata kwa msiba. Wachawi huwa wanalia sana. Na akikuroga hadi Hospital anakuja kukuangalia unavyoteseka. Anakupa na pole. Anakuletea na chakula.

Wachawi wapo hivyo. Kusema rais anagharamia matibabu ni uchawi tu huo huo kama wa miaka ya Kikwete. Aliyemteka Dr. Ulimboka mnajua alipelekwa wapi? Aliye muua Mwangosi?

Huo ni UNAFIQ MANTASHALLAH. Kuli nalih alihutujilah wal nafiq wallah.

RAIS AMURU WALIOFANYA HUO MNYAMA WAKAMATWE WANAJULIKANA. SI ALIPELEKWA OYSTERBAY? WAANZIE PALE. NA MAWASILIANO YOTE.
Wanaendelea kutafutwa.,Wala haihitaji Rais kuamuri maana wenye wajibu huo kisheria wapo.

Kwani waliomuua mtoto Albino ni Rais aliamuru? Si ni Polisi wenyewe wanafahamu wajibu wao kisheria au?
 
Naunga mkono hoja. Ifikie wakati tuwe wastaarabu. Wahusika wakamatwe na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria.
Tukio la yule mtoto aliyeuwawa kule Bukoba lilichukua siku chache tu kwa watuhumiwa kukamatwa na kufikishwa mahakamani.

Sioni ni kwa nini katika hili tukio, nguvu kubwa inataka kuwekezwa kwenye matibabu pekee, huku kukiwa hakuna habari yoyote ile ya kuwahusu watuhumiwa wa tukio. Au ndiyo muendelezo ule ule wa tukio la kutekwa na kuteswa kwa Dr. Ulimboka! Kushambuliwa kwa Tundu Lissu, nk?
 
Wanaendelea kutafutwa.,Wala haihitaji Rais kuamuri maana wenye wajibu huo kisheria wapo.

Kwani waliomuua mtoto Albino ni Rais aliamuru? Si ni Polisi wenyewe wanafahamu wajibu wao kisheria au?
Huu usanii ni kujifunza from Kikwete. Ni Unafiq Mantashallah.
 
Kuna jamaa mmoja alikuwa anasema hata kwa msiba. Wachawi huwa wanalia sana. Na akikuroga hadi Hospital anakuja kukuangalia unavyoteseka. Anakupa na pole. Anakuletea na chakula.

Wachawi wapo hivyo. Kusema rais anagharamia matibabu ni uchawi tu huo huo kama wa miaka ya Kikwete. Aliyemteka Dr. Ulimboka mnajua alipelekwa wapi? Aliye muua Mwangosi?

Huo ni UNAFIQ MANTASHALLAH. Kuli nalih alihutujilah wal nafiq wallah.

RAIS AMURU WALIOFANYA HUO MNYAMA WAKAMATWE WANAJULIKANA. SI ALIPELEKWA OYSTERBAY? WAANZIE PALE. NA MAWASILIANO YOTE.
Hujawahi kusikia nitakupiga nikulipe?

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
 
Wanaendelea kutafutwa.,Wala haihitaji Rais kuamuri maana wenye wajibu huo kisheria wapo.

Kwani waliomuua mtoto Albino ni Rais aliamuru? Si ni Polisi wenyewe wanafahamu wajibu wao kisheria au?
Waliomuiba mtoto albino walimpeleka pia Karakana ya Osterbay? Basi ndo maana walipatikana kirahisi sana.
 
Alitekwa na waoysterbay wakampeleka kwenye karakana yao alafu Arusha wakamalizia porini katavi na risasi juu
Halafu Ndugu yake kachoma Picha Povu linawatoka
 
Ukatili aliofanyiwa Sativa umeitia doa serikali ya Samia , walimuacha msituni ili aliwe na wanyama wakali lakini Mungu alimuokoa.
 
Aibu kubwa. Inaonesha nijinsi gani mtu hana hata tone la aibu, Sijui ni kukosa akili au uwezo wa kufikiria ndio mdogo.
Kitendo tu cha Muathirika kusema alifikishwa osterbay sikutegemea mtu kama yeye kujikosha na kutoa msaada tena matibabu.

Nilitegemea kusikia ameeanza na mkuu wa kituo cha osterbay
 
1000024914.jpg
 
, nimeuona umoja wa kitanzania kwenye jambo hili, nawashukuru wote waliomchangia na wanaondelea kuchanga, hivi ndivyo inavyopaswa kuwa, aliyoyapitia yanaumiza na kusikitisha sana, yaliyomtokea Sativa ni lazima tuyakomeshe”
Umoja WA Wana CHADEMA, tujifunze ku-appreciate juhudi za wenzetu. Hongera sana Kwa Martin Maranja Masese NA Jacob Boniface (Boniyai)! Hakuna mwana CCM aliyetoa hata kumi Zaidi ya fedheha.
 
Back
Top Bottom