Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Erick Benard na wenzake wao wataachwa wa get away with it? Au na aachiwe Mungu atawalipia?
well done President,

Angeliwa na Fisi wangenyamanza kimya kama sio wao.Mmh! Watekaji wanatoa pole. Nchi ngumu hii!!!
Ni aibu tupu . Mungu anamuumbua .Kwa sisi wasoma matukio hii Ni kama sign mwisho wake mama unaweza kuwa kifo. Hivi alifanya jiwe alipokuwa anataka kumfunga Msigwa huku raia wema wakiwa kuchanga Pesa mara jiwe na yeye akajitia kuchanga.
Hapo utaanza kuwaona ccm wakipongeza Rais kwa hiliUmoja WA Wana CHADEMA, tujifunze ku-appreciate juhudi za wenzetu. Hongera sana Kwa Martin Maranja Masese NA Jacob Boniface (Boniyai)! Hakuna mwana CCM aliyetoa hata kumi Zaidi ya fedheha.
Wee huogopiiii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usenge' ni mwingi Mwaisaaa