Pre GE2025 Rais Samia kugharamia matibabu ya Sativa hadi apone, aagiza uchunguzi wa tukio hilo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwendo ndo huo huo Sasa hivi.ukitekwa ukipigwa serikali inatakiwa ikulipie matatibu.maana watekaji wanawajua
 
Kwa sisi wasoma matukio hii Ni kama sign mwisho wake mama unaweza kuwa kifo. Hivi alifanya jiwe alipokuwa anataka kumfunga Msigwa huku raia wema wakiwa kuchanga Pesa mara jiwe na yeye akajitia kuchanga.
 
Ni aibu tupu . Mungu anamuumbua .
 
Create problem..
Solve problem...
Political mileage
 
Nampongeza kwa hatua hii!!..Atokomeze ugonjwa wa teka teka unamharibia sana halafu siyo desturi ya utawala wake!!

Kazi iendelee!
 
Kijana akishapona hapo ni kijani na njano na kupeperusha bendera huku akisema mama anaupiga mwingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…