Rais Samia kuijengea Nyumba familia ya mtoto anaeuza ndizi

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Ikiwa ni siku moja tangu Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda kupokea changamoto ya kijana Alhaji Yahya Abdallah ambaye anafanya biashara ya kuuza ndizi kumsaidia Mama yake na wadogo zake 4 na Mwenezi Makonda kwa niaba ya CCM kumuahidi kumsomesha na Kumpatia kiasi cha Fedha kwaajili ya vitendea kazi na sare za shuleni.

Leo 4 Februari, 2024 Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameonesha kuguswa zaidi na jambo hilo na kumsaidia Mwanamama huyo mjane kwa kumpatia kiwanja na kumjenga Nyumba kubwa ya kuishi na watoto wake wote ambapo ujenzi wa nyumba hiyo utaanza Ijumaa tarehe 9 Februari, 2024.

Pia, Dkt. Samia kuwasomesha Watoto wote 5 wa Mwanamama huyo pamoja na kughariamiwa vifaa vyote vya shule na sare.

Aidha, Dkt. Samia amempatia Mwanamama huyo Kiasi cha Tsh Milioni 5 itakayokuwa inatolewa kupitia Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Kigoma Mjini kwaajili ya kufanya shughuli zake za biashara kujikwamua kiuchumi.

Credit - Bongo5
 
Wanatengeneza tatizo wanatatua wanajisifia...cheap popularly....yatima wauza ndizi mbona wako aengi sana ataweza ? ....kesho wata stage kuru kingine ....hizo siasa za zamani sanaaaaa.....
 
WASOMI WAKISHAANZA KUUKOSOA UTAWALA NI HATARI KUBWA:-

Na:
Thadei Ole Mushi.
Kada wa CCM.

Wasomi Nguli nchini wameendelea kuongea, wameendelea kukosoa Mkataba wa Bandari, Ukiona wasomi kaliba ya kina Shivji wameanza kutoka Vyumbani mwao na kuja kufanya Press fahamu kuwa wakati umefika wa aidha ukubali kubadilika au ubadilishwe kwa Nguvu.

Ipo hivi

Serikalibyoyote dalili zake za kuobdoka madarakani kwa kutokuchaguliwa kwa Kura au kwa kupinduliwa hupitia vipindi viwili muhimu:-

Normal- Ni hatua ya kwanza ni kuona mambo yapo sawa wakati hayapo sawa. Pamoja na Kelele za wananchi watawala hujiona wapo tu sawa. Mfalme Luise wa XVI na mkewe Marine Antoniete pamoja na kelele za Wafaransa kulalamika maisha magumu na kupinga hali ya matabaka (Nobles na Clerks) ambao walikuwa wakila na kisaza na mfalme, Louise aliwapuuza.

Criticism- Hii ni hatua ya pili ambayo huusisha intelectuals kama hawa kina Shivji na wengineo kuanza kupinga aidha kwa kuandika au kwa kusema waziwazi. Kipindi hiki wasomi huamua kuanika uovu
 
Ni vizuri na vyema sana hasa kwa waliopatiwa msaada huo, anastahili pongezi. Ila kiuhalisia zaidi ya 80% ya watanzania wapo kwenye hali hiyo na wanahitaji msaada huo, je ataweza kuwajengea na kuwasaidia wote!?!?..., Jibu ni haiwezekani, kwahiyo watanzania wapewe umeme wa uhakika, maji, barabara nzuri. Ondoa rushwa na ufisadi maofisini, pesa za kuelekezwa kwa wananchi ziwafikie. Mengine watanzania watajipambania wenyewe na Mungu wao. Badala ya kuondoa uonevu Polisi na kwenye mifumo ya mahakama, mnazunguka nchi nzima kusikiliza walioonewa, mtaweza kutatua kero zote!!?????
 
WASOMI WAKISHAANZA KUUKOSOA UTAWALA NI HATARI KUBWA:-

Na:
Thadei Ole Mushi.
Kada wa CCM.

Wasomi Nguli nchini wameendelea kuongea, wameendelea kukosoa Mkataba wa Bandari, Ukiona wasomi kaliba ya kina Shivji wameanza kutoka Vyumbani mwao na kuja kufanya Press fahamu kuwa wakati umefika wa aidha ukubali kubadilika au ubadilishwe kwa Nguvu.

Ipo hivi

Serikalibyoyote dalili zake za kuobdoka madarakani kwa kutokuchaguliwa kwa Kura au kwa kupinduliwa hupitia vipindi viwili muhimu:-

Normal- Ni hatua ya kwanza ni kuona mambo yapo sawa wakati hayapo sawa. Pamoja na Kelele za wananchi watawala hujiona wapo tu sawa. Mfalme Luise wa XVI na mkewe Marine Antoniete pamoja na kelele za Wafaransa kulalamika maisha magumu na kupinga hali ya matabaka (Nobles na Clerks) ambao walikuwa wakila na kisaza na mfalme, Louise aliwapuuza.

Criticism- Hii ni hatua ya pili ambayo huusisha intelectuals kama hawa kina Shivji na wengineo kuanza kupinga aidha kwa kuandika au kwa kusema waziwazi. Kipindi hiki wasomi huamua kuanika uovu
R.I.P Ole Mushi
 
Kama Samia kafanya kile alichokiona kwa Makonda, Bashe ni nani abishane na Makonda?

Watanzania wana shida, lazima matatizo yao yatatukiwe kwa namna inayofaa toka kwa wahusika.

Hata kama sijui hizo pesa za ujenzi wa nyumba na mil 5 zitatoka wapi, lakini kwangu ni afadhali kuliko zile milioni 10 za kununua magoli ya Simba na Yanga.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Ikiwa ni siku moja tangu Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda kupokea changamoto ya kijana Alhaji Yahya Abdallah ambaye anafanya biashara ya kuuza ndizi kumsaidia Mama yake na wadogo zake 4 na Mwenezi Makonda kwa niaba ya CCM kumuahidi kumsomesha na Kumpatia kiasi cha Fedha kwaajili ya vitendea kazi na sare za shuleni.

Leo 4 Februari, 2024 Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameonesha kuguswa zaidi na jambo hilo na kumsaidia Mwanamama huyo mjane kwa kumpatia kiwanja na kumjenga Nyumba kubwa ya kuishi na watoto wake wote ambapo ujenzi wa nyumba hiyo utaanza Ijumaa tarehe 9 Februari, 2024.

Pia, Dkt. Samia kuwasomesha Watoto wote 5 wa Mwanamama huyo pamoja na kughariamiwa vifaa vyote vya shule na sare.

Aidha, Dkt. Samia amempatia Mwanamama huyo Kiasi cha Tsh Milioni 5 itakayokuwa inatolewa kupitia Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Kigoma Mjini kwaajili ya kufanya shughuli zake za biashara kujikwamua kiuchumi.

Credit - Bongo5
Rais yupo kwenye nafasi ya kubadili, kurekebisha na kuboresha sera na mifumo ili viweze kusaidia familia nyingi zaidi nchini, kuliko huu utoto.
Ina maana wanafelisha mifumo ya nchi makusudi ili wapate cheap credits kama hizi? Wananchi wategemee kuishi kwa misaada wa kutokoa mifukoni mwa viongozi wa serikali na wanasiasa?
Huku ni kuzidi kuwadunisha wananchi. Kuna watoto wangapi wanaouza ndizi outhere? This is too cheap.
 
Yaani akimaliza samia uongozi atakuja makonda halafu wengine msio wapenda hadi basi kwa makonda kwasababu hawampendi USA na sehemu zingine tutaishi kama magufuli hakuna kukopa nje wala nini
 
""NADHANI HEKIMA ILIKUWA NI KUWATAMBUA WAJANE NA YATIMA WOTE, WAHAKIKIWE, NA HALMASHAURI ZIWE ZINAWAPA KIPAUMBELE KATIKA KUWASAIDIA KIMIKOPO NA MENGINEYO""
-makundi haya ukiyasaidia taifa litapata baraka tele,kwani wameandikwa mpaka kwenye vitabu vitakatifu.
 
Kama Samia kafanya kile alichokiona kwa Makonda, Bashe ni nani abishane na Makonda?

Watanzania wana shida, lazima matatizo yao yatatukiwe kwa namna inayofaa toka kwa wahusika.

Hata kama sijui hizo pesa za ujenzi wa nyumba na mil 5 zitatoka wapi, lakini kwangu ni afadhali kuliko zile milioni 10 za kununua magoli ya Simba na Yanga.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Wewe nawe ni wale wale tu. Nchi ina raslimali nyingi sana, haikutakiwa mafukara wawe wengi namna hii. Njia sahihi ya kusaidia watu kama hawa ni kuwa na utawala bora ili wananchi wajikwamue wenyewe. Nchi imejaa watoto luluki wenye shida kuliko huyu halafu yeye analeta usanii! Kwanza wanaosaidia kwa moyo husaidia bila kutangaza.
 
Ikiwa ni siku moja tangu Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda kupokea changamoto ya kijana Alhaji Yahya Abdallah ambaye anafanya biashara ya kuuza ndizi kumsaidia Mama yake na wadogo zake 4 na Mwenezi Makonda kwa niaba ya CCM kumuahidi kumsomesha na Kumpatia kiasi cha Fedha kwaajili ya vitendea kazi na sare za shuleni.

Leo 4 Februari, 2024 Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameonesha kuguswa zaidi na jambo hilo na kumsaidia Mwanamama huyo mjane kwa kumpatia kiwanja na kumjenga Nyumba kubwa ya kuishi na watoto wake wote ambapo ujenzi wa nyumba hiyo utaanza Ijumaa tarehe 9 Februari, 2024.

Pia, Dkt. Samia kuwasomesha Watoto wote 5 wa Mwanamama huyo pamoja na kughariamiwa vifaa vyote vya shule na sare.

Aidha, Dkt. Samia amempatia Mwanamama huyo Kiasi cha Tsh Milioni 5 itakayokuwa inatolewa kupitia Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Kigoma Mjini kwaajili ya kufanya shughuli zake za biashara kujikwamua kiuchumi.

Credit - Bongo5
....Wastaafu' wa Nchi hii atawasikiliza lini ?????
 
Mwanzoni kabisa nilifikiri raisi samia ni mtu makini kumbe ni mtu wa hovyo na asiyeelewa hata anafanya nn pale ikulu
Tanzania ina jumla ya watoto 2m wanaoishi katika mazingira hatarishi (Ovcs) yatima unamjengeaje nyumba mmoja tu? Kisa kaibuliwa/ kapangwa ili makonda apige nae picha?
Na wale wanaolala nje kariaakoo je?
Ccm kuweni serious kidogo bhana
Siasa hizi za mkate ni za kipumbavi sana
Mnawafanya watzania ni mazuzu kiasi hichi?
 
Back
Top Bottom