Rais Samia kuingia na mlinzi wa kiume msikitini, ni jambo la kawaida. Tuache Mihemko isiyo na Tija

Rais Samia kuingia na mlinzi wa kiume msikitini, ni jambo la kawaida. Tuache Mihemko isiyo na Tija

Rais anaingia popote na ulinzi wake full tight security hata huko anakoenda kuswali. Nani anawaamini waumini wenzake kuwa ni salama? Akina Benazir Bhuto na Indira Gandhi security system yao ilizembea yakawakuta makubwa
 
Raisi Mwinyi pia aliwahi pigwa vibao na Muislamu kwenye hafla ya waislamu ukumbi WA Diamond Jubilee Dar es salaam
 
Hpo afya imechekiwa kwanza hivyo tumbo kuvuruga sahau. Sheikh kumtokea anatokea wapi ndani ya room la wamama?
Nje wakitoka. Kumbuka na yeye ni binadamu. Sioni kama kulikuwa na umuhimu huo.wa kumuingiza mwanaume sehemu ya wanawake. Ni kumdhalilisha
 
Raisi Mwinyi pia aliwahi pigwa vibao na Muislamu kwenye hafla ya waislamu ukumbi WA Diamond Jubilee Dar es salaam
halafu itokee rais kafanyiwa kitu kibaya ndani ya kuswali huko kisa waislam wenzake hawana ubaya nani anawaamini waumini hao? Ulinzi na usalama ni lazima umzunguke kuhakikisha yuko salama. Kikwete akiwa kwenye kampeni kuwania awamu ya pili huko mwanza aliibuka mwehu mmoja na kumletea tafrani jukwaani. Nadhani walinzi wa rais walijifunza mkasa ule pamoja na ule wa mwinyi. Msikitini hakai Mungu, watu wa shetani wamejaa mule hakuna wa kuwaamini kwa usalama wa rais timu ya ulinzi iingie na ifanye kazi yao kama kawaida
 
Hata kanisani akiingia ulinzi wake utafanya kazi yao kama kawaida bila kujali atakaa madhabahuni pamoja na maaskofu. Uzuri kanisani hakuna ubaguzi wa jinsia, ni changanyikeni, hakuna matendo magumu ya kufanya ibada, itifaki zaidi inazingatiwa huwezi kumpigisha makofi na mapambio rais kwa muda mrefu. Ibada itapangwa na kupangika kama atahudhuria ibada ya kanisa fulani utaratibu wa kiitifaki utawekwa
 
Mwanaume/ mwanamke akimgusa mwanamke anatenguwa udhu ,,

Je palikuwa na swala kweli hapo bila kuwa na udhu?
 
Nje wakitoka. Kumbuka na yeye ni binadamu. Sioni kama kulikuwa na umuhimu huo.wa kumuingiza mwanaume sehemu ya wanawake. Ni kumdhalilisha
Kumdhalulilisha nini??, kwani walikuwa uchi 🤨🤨??
 
Jasusi la kitanzania la gundulika likimlinda mh rais msikitini kwa kamera za tecno. Wakati majasusi wa kule duniani wao hata scaner zinapatashida kuwagundua. Teh teh ten .
 
Ni wakati sasa ikulu zetu ziwe na nyumba za kuabudia. La sivyo haya mambo yataendelea kujirudia
 
Back
Top Bottom