Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Siku ya kesho Zaidi ya Nusu Billion ya watu Duniani Kwote wataelekeza macho na masikio yao Nchini Cuba .pale Ambapo kinara wa Dunia wa kupigania matumizi ya nishati safi ya kupikia Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi atakapokuwa mgeni Rasmi katika kongamano la kiswahili .
Ambapo duru za kisiasa zinaonyesha kuwa kongamano hilo linasubiriwa kwa hamu na shauku kubwa sana na mamilioni ya watu Duniani Kwote.Lakini pia uwezo wa kiuongozi na maono Makubwa ya Rais Samia yamepelekea kuwa gumzo na kuteka hisia za watu wengi sana Duniani Kwote.
Ikumbukwe ya kuwa RAIS Samia ndiye Rais Mwanamke pekee barani Afrika na mwenye ushawishi mkubwa sana hapa Afrika.Na ambaye inatajwa kuwa kama Afrika ingekuwa ni Nchi Moja basi Mama huyu shupavu,imara,hodari na madhubuti kwelikweli angechaguliwa kuwa Rais Wa Afrika.
Soma Pia: Rais Samia Mgeni Rasmi Kongamano la Kiswahili Havana Cuba Novemba 7-10, 2024
Usikose kufuatilia kongamano hilo litakalofuatiliwa na Dunia nzima na kuwa live au mbashara kupitia vyombo mbalimbali vya habari
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.