Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwetu kumekucha mimi wala sina shida na wewe nimeshakuelewa ipo sio siyo ya mbali utalaumu yale yale aliyokuwa akifanya Magufuli usiempenda sema kwa sasa uelewi utekelezaji wale.Sijawahi kuwa mfuasi wa Magufuli,never ever,siwezi kuwa mfuasi wa wajaa,mimi ni mfuasi wa Ubepari jamii yaani social democracy na sio ujamaa...
Msingi wa ujamaa ni kuua personal initiative,sifa nyingi na maneno meeengi ya kutiana matumaini wakati kwenye actual things hakuna kitu...
Ndio maana Mwendazake alikuwa anawalisha maneno,propaganda nyingi na hadithi za kufikirika.
Nilaumu kwa lipi? Magufuli aliharibu uchumi kwa kuvuruga private sector,FDI na kudanganya kwamba hakopi wakati anakopa tena kwa riba kubwa na ufisadi juu kwa hiyo hafai kabisa na kulaumiwa ni haki yake 👇Kwetu kumekucha mimi wala sina shida na wewe nimeshakuelewa ipo sio siyo ya mbali utalaumu yale yale aliyokuwa akifanya Magufuli usiempenda sema kwa sasa uelewi utekelezaji wale.
👋
Tatizo sio kukopa bali hiyo mikopo inatumikaje? Nchi inakopa pesa mwisho zinaingia kwenye mifuko ya wanasiasa.Huku sarakasi za Mlimani City zikiendelea Serikali ya Samia imeomba mkopo wa 1.1 billion US dollars kutoka IMF kwa mujibu wa msemaji wake Zuhura Yunis, IMF wako nchini kujadili, one thing is clear walipaji wa haya madeni ni sisi wananchi!
View attachment 2221901
Markets
IMF Mission in Tanzania for Talks on $1 Billion Funding Request
An International Monetary Fund team is in Tanzania for talks on the East Africa nation’s request for a three-year financing package of $1.1 billion.
President Samia Suluhu Hassan is seeking the funds to support the nation’s recovery from the coronavirus pandemic, her spokeswoman, Zuhura Yunus, told reporters in the commercial hub of Dar es Salaam on Thursday.
Hassan told Bloomberg News in an interview in March that her administration was seeking at least $700 million from the IMF. Securing additional funding from multilateral lenders is part of Hassan’s wider plan to boost Tanzania’s fiscal position by taking on more concessional loans.
The IMF in September raised the nation’s risk of debt distress to moderate, from low, after the government ramped up commercial borrowings in recent years, including about $1.5 billion from Standard Chartered Plc to help fund construction of a new railroad.
Bloomberg - Are you a robot?
www.bloomberg.com
Na mimi ndo nakuuliza wewe.....Mikopo mingapi iliyoleta tija mpaka sasa?
Sina shida na Kukopa na nasema wakope zaidi na zaidi mikopo ya mda mrefu kwa ajili ya miradi tuu,naunga mkono hoja...
Ila kukopa kwa ajili ya kutoa ruzuku kwenye mafuta hapana, Serikali isifanye hili kuna njia nyingi za kupata pesa ya Ruzuku ya Mafuta kama tulivyochangia hapo awali..
Tanzania hii bila mikopo ya miradi ya maendeleo hatutoboi.
Wacha akope. Kinakuuma nini sindio tumemchaguwa atuwakilishe na wazee wakasema anafaa yani wacha akope tu. Tupunguze domoHuku sarakasi za Mlimani City zikiendelea Serikali ya Samia imeomba mkopo wa 1.1 billion US dollars kutoka IMF kwa mujibu wa msemaji wake Zuhura Yunis, IMF wako nchini kujadili, one thing is clear walipaji wa haya madeni ni sisi wananchi!
View attachment 2221901
Markets
IMF Mission in Tanzania for Talks on $1 Billion Funding Request
An International Monetary Fund team is in Tanzania for talks on the East Africa nation’s request for a three-year financing package of $1.1 billion.
President Samia Suluhu Hassan is seeking the funds to support the nation’s recovery from the coronavirus pandemic, her spokeswoman, Zuhura Yunus, told reporters in the commercial hub of Dar es Salaam on Thursday.
Hassan told Bloomberg News in an interview in March that her administration was seeking at least $700 million from the IMF. Securing additional funding from multilateral lenders is part of Hassan’s wider plan to boost Tanzania’s fiscal position by taking on more concessional loans.
The IMF in September raised the nation’s risk of debt distress to moderate, from low, after the government ramped up commercial borrowings in recent years, including about $1.5 billion from Standard Chartered Plc to help fund construction of a new railroad.
Bloomberg - Are you a robot?
www.bloomberg.com
Haya mambo hayatakiwi yapelekwe kiasiasa, sasa wachumi wenyewe ndo hao akina madelu ndo unaona mambo ni shaghalabaghala....mkuu stimulus loan for whom? raia wanachechemea na kujiangukia ovyo kwa njaa na kukosa ajira wakitaabishwa na tozo na bei kali ya petrol hebu tusaidie maelezo hiyo loan inawakwamuaje!! hivi sisiem huwa hawakai vikao kuhoji mikopo ya serikali?
upigaji halmashauri hautoisha.mbona hapa bukoba ukarabati wa jengo la mkuu wa wilaya unasuasua ati sababu wameshtukiwa na mkuu wa wilaya kuzipiga.waliweka bajeti kubwa ya ukarabati tofauti na uhalisia wake na waliposhtukiwa na mkuu wa wilaya bukoba mjini wanapita mtaani kusema ati ngoja akae kwenye kile kiofisi pale uwanja wa ndege mpaka akome.wapigaji nchi hii ni wengi kutoka juu mpaka chini wamejaa wapigaji tu hasa kipindi hiki cha mama.Kwa ninavyoona, mama anazisaka pesa sana, shida ni walaji, zikitua tu,watu wanazila halafu zile chache wanatuzugia kupeleka maeneo husika. Upigaji kwenye ma-halmashauri unasemwa kua ni Mkubwa sana, achilia sehemu nyingine. Pole yao wale ambao walitumbulia enzi za mzee JPM,maana wenzao duuuh! wanakula raha mstarehe.
Humohumo, watu wanafyonza asali.Na hizo ziara za mama ughaibuni zinazovhukua wajumbe wanaojaza basi zinalipiwa na fedha kutoka wapi?
Vv
Ndivyo kakuambia au? Acha ujinga wako..Amekopa ili aweze kuongeza mishahara aliyoahidi, hakuna pesa hazina wameshamaliza akiba yote walioikuta.
Kwa kifupi anakopa ili kuendesha Serikali, hakuna pesa!
mama hajachaguliwa ni matakwa ya kkatiba jamani mbona mnapotosha?Wacha akope. Kinakuuma nini sindio tumemchaguwa atuwakilishe na wazee wakasema anafaa yani wacha akope tu. Tupunguze domo
Naunga mkono hoja 100% ! Hata L/cruiser hard top zinafaa sana lakini watu wameshajizowesha KAZI NA BATA !! Wengine wanataka Chopa !!Tusiogope kukopa, deni haliui, kinachoniuma mimi ni matumizi ya anasa ya Serikali - ma V8 za nini ? kwa nini tusitumie Suzuki na R4 tena kwa watumishi wachache tu wengine wajitegemee usafari.
Haitakuwa na tija yoyote, watu watagawana kiujanjajanja tu kisingio kikiwa hicho hicho covid 19 recovery.Hiyo itakuwa ni stimulus loan kwa ajili ya kusawazisha hali ya kiuchumi.......muhimu ni hiyo mikopo kutumika kuleta tija zaidi.
Dah jamaa unanibishia bila kujua tu. Hela zimechapishwa sana kulipa wanunuzi wa ndani wa bond za serikali. Sina haja ya kubishana na wewe maana najua ninachoongea. Taarifa zinazotolewa public ni tofauti sana na uhalisia.View attachment 2222295
Hivi unajua madhara ya kuchapisha hela au unajiropekea tu.
Kuchapisha hela kunaenda sambasamba na currencies devaluation na inamaanisha you are broke; sasa mtu broke anaweza kopeshwa na private banks.
Tazama hiyo trend ya exchange rate ya Magufuli kwenye devaluation of our currency. Kipindi cha Magufuli miaka sita shillingi imekuwa stable kwa muda mrefu kushinda muda wowote.
Sasa utachapisha hela shillingi ibaki stable; au utatolewa kwenye low risk ya kukopeshwa na kuwekwa kwenye moderate risk kama una makusanyo mazuri.
Chawa wa mama mnafanana na yeye kwenye kila kitu mpaka vichwani zero.
Mkuu mimi nimeshasema Samia hana uwezo wa kuongoza nchi na Magufuli pia alikuwa hivyo hivyo. Tatizo kuanzia awamu ya 5, kaua biashara na uzalishaji wa ndani na matokeo yake vyanzo vya mapato vikapungua na matokeo yake ni kukopa kila siku ili kuendesha serikali na kujenga.Nakubiana na wewe kuwa yule mgogo alikuwa mnafiki sana hata mimi sikumpenda lakini alichosema juu ya Samia kuwa anakopa hovyo nakubaliana nae!!! Huwezi kukopa kutoa ruzuku kwa bei ya Mafuta inayopanda kila siku ; kitu ambacho kiko nje ya uwezo wako na ukategemea kukomesha mfumuko wa bei!!! Utakopa mara ngapi? Look at the unnecessary expenditure pattern ya serikali yako!! Legislate kuwa magari note yabadilishwe na yatumie gas ambayo nchi inachimba; kuonesha mfano magari note ya serikali yawe refitted ili yatumie gas. it way seem momentous but doable, mbona magari ya Dangote yanatumia gas?
Ukiwa unakopa na kupokea hela nyingi za kigeni kama mikopo unategemea currency yako isiwe stable?Vipi kuhusu exchange rate kwa Magufuli hela yetu imekuwa stable sana! Magufuli was better maana alikopa na vitu vinaonekana in ground!
Hizo hela alizichapishia wapi hadi iwe siri kwa dunia? Na aliziingiza vipi kwenye vitabu vya serikali kwa situ kubalance vitabu au unadhani unaweza kuiongopea dunia kwenye deni lako la ndani.Dah jamaa unanibishia bila kujua tu. Hela zimechapishwa sana kulipa wanunuzi wa ndani wa bond za serikali. Sina haja ya kubishana na wewe maana najua ninachoongea. Taarifa zinazotolewa public ni tofauti sana na uhalisia.
Pia mimi huyo Samia sioni kama anao uwezo wa kuongoza nchi hivyo usinihusishe naye.