Rais Samia kukubali kukutana CHADEMA ni kuwasaliti Watanzania wazalendo

We huna akili. Chadema walitaka shirika la ndege life kabisa Kama ambavyo watanzania wengi wenye akili wanataka shirika life Mana ni mzigo na hasara Kama ilivyobainishwa na cag. Ndege za fast jet na precision zinatosha kuendesha airline industry. Hivyo chadema ni wazalendo wa kweli
 
Chadema sio wa kuwachekea.
Wakukutima kuuwa watu na kupiga risasi kafa yeye.mama hatumi kuuwa watu anamuogopa Mungu haswa. Si Kama lile Marehemu lilivyokuwa linafiki mchana kanisani usiku unauwa Lililowafundisha UZALENDO wa kipumbavu. Mama mchana msikitini na usiku msikitini.
 

Mkuu Idugende

Leo hii tupo mwaka 2021, tunapaswa kujuwa kwamba mafanikio hayotakani na mashindano ya nguvu, cheo, pesa bali mafanikio wanaweza kupatikana penye mashindano ya fikra njema.

Ahsante
 
Amesahau kuwa mama alisema na akarudia kuwa huu siyo wakati wa kutazama yaliyopita, bali ni wakati wa kuponya majeraha na kutazama mbele kwa matumaini. Kumbuka pia mleta mada agenda nyingi zilizotekelezwa na watawala wako ziliasisiwa na wapinzani ikiwemo elimu bure. Wapinzani ni think tank la nchi. Ndiyo maana mama anawahitaji.
 
Rais anashughulika na watu waliochongea ndege kukamatwa? Waliofurahi watu wafe kwa korona? Hii sio sawa.

Hizo ni za kukamata hata leo zisiendelee kututia hasara. Na kwa taarifa yako huyo mama hafagilii kabisa hayo mapipa.
 
Dogo, tunahitaji vyama ambavyo vinatetea interest za taifa letu. Hayo mengine ni porojo zako tu.
Kama ccm mlilivyotetea interest ya Gas, hatimaye yule dhalimu akasema Gas yetu imeuzwa na wajanja.
 
Wewe na Kinuju kifo cha Dikteta kimewakosesha fursa za upigaji mlizokuwa nazo, poleni sana.
 
We utakuwa mwita au silinde😁😁 maana mkisikia cdm kukutana na viongozi wa serikali hampendi. Sababu mnazijua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…