Rais Samia kukubali kukutana CHADEMA ni kuwasaliti Watanzania wazalendo

Nchi kupona ndio kucheka na mafedhuli?
Mafedhuli hao nao ni wananchi, nao ni Watanzania. Rais ni wa kwao wote.

Tulia Mama ajenge familia mzee. Au wewe unasemaje?
 
Mafedhuli hao nao ni wananchi, nao ni Watanzania. Rais ni wa kwao wote.

Tulia Mama ajenge familia mzee. Au wewe unasemaje?
Mbwa koko kaa kimya.
 
Nyie mambumbumbu hamjui hii nchi ni ya kidemokrasia na vyama vingi vipo kikatiba.
Sijui mna akili au ukoko kichwani?

Amani ya nchi ni majadiliano si kutishana.
 
Hivi wewe utaendekeza chuki za kiitikadi mpaka lini? Wenzio wanapotaka kuleta mwafaka na amani ya kweli ya kitaifa wewe roho inakuuma. Hata hivyo huna madhara maana wenye maamuzi wameshamaliza. Utabaki na roho yako ya korosho na itakuathiri mwenyewe!!!
 
Sijui tukuweke kundi gani? Ila elewa alie kuwa ana tumia ubabe kuliko demokrasia amesha enda zake. Na haijulikani amewekwa upande gani.
Hebu muacheni Mh. Rais Samia atengeneze legacy yake pia aandae maisha yake ya baadae na Muumba wake.
Enzi za kuua na kuweka watu kwenye viroba zimekwisha. Tuna taka Tanzania mpya. Ya watu wanao cheka. Sio machozi tena. Maana Mungu amesha futa machozi yetu kwa kutuletea Mama anae jua uchungu wa mwana.
 
Ingekuwa Rais ana upeo mdogo kama wa kwako, angeweza kupoteza muda kufikiria ushauri wako. Lakini kwa sababu Mh. Samia ni mwenye akili timamu, hawezi kuwa na muda hata wa kusoma hii takataka uliyoiweka hapa.

Unaweza kuendelea na ujinga mpaka siku ya kifo chako au ukaamua kuachana na ujinga, ukajiunga na wenye akili.
 
Uzalendo ulienda na mwendazake.
Utaifa na umoja wa kitaifa ndiyo uliobaki.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Nyie mnaojivika majina ya uzalendo ndiyo waharibifu wa hii nchi afu hakuna mzalendo mbaguzi.
 
Sasa hivi, kuwa mjinga, kuwa mtu wa ndiyoooo, mnafiki, mpiga vigelegele kushangilia watawala, ndiyo uzalendo.

CCM = UJINGA (TWAWEZA)
CCM = UZALENDO

Therefore

UJINGA = UZALENDO
 
Mbwa koko kaa kimya.
Umejaa upepo kwa kuwa uliowahesabu watoto wa kambo sasa mnachukuliwa sawa! Unahisi unapoteza umaarufu wako sio?? Pole kwa roho ya korosho.
 
Yaani wewe unaakili kuizidi serikali na hasa Rais???

Acha ufitini usio na maana,tambua CHADEMA,ccm,act,cuf,nk wote Ni watanzania na tunahaki sawa.
 
Unamaanisha nini?
Nenda kwenye kaburi la dhalimu umuulize kwanini aliachana na mradi wa gas akaamua kuanzisha umeme wa maji. Atakueleza vizuri ni chama gani kiliuza hiyo gas dogo.
 
Kibaraka wa madikteta wewe
 
Usikonde hao Chadema watafunikwa na Chauma kwenye huo mkutano [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…