Rais Samia kukubali kukutana CHADEMA ni kuwasaliti Watanzania wazalendo

Nenda kwenye kaburi la dhalimu umuulize kwanini aliachana na mradi wa gas akaamua kuanzisha umeme wa maji. Atakueleza vizuri ni chama gani kiliuza hiyo gas dogo.
Stick to the point, Chadema sio wazalendo.
 
Watanzania wazalendo ni akina nani?
Wale ambao kweye budget ya Tamisemi wanapeleka 840 mls kujenga nyumba ya mkuu wa mkoa kagera huku wakipeleka 330 mls tu, kwa ajili ya vifaa tiba?

Wale ambao wakikaa bungeni wanalipwa 360,000 kwa siku, 11,500,000 kila mwezi, 1,000 lita za mafta kila mwezi plus 240,000,000 kiinunua mgongo ambacho uwa hawachangii. Lakini mwalimu mweye mshahara kiduchu wanazidi kumwongezea mikodi na makato mengi?

Au wale ambao hawajali katiba wanapokea wabunge waliofukuzwa na chama na kuwalinda kisa kuwakomoa upinzani?
 
Mbona hata Wewe ni mnafiki, lakini hapa jukwaani hatukubagui?!
 
Naunga hoja mguu,

Chadema hawajawahi kuwa wazalendo,

Wanalinda maslahi binafsi zaidi.
 
mzalendo kashakufa ungezikwa nae kama unampenda kweli
 
Wazandiki ndo mnajiita Wazalendo?
 
Kwenye ripoti ya CAG Kuna mwana CHADEMA ametajwa kwenye ufisadi wa kutisha?
 
Wazalendo wapo kaburini. Halafu siku ukikubali kuwa kifo cha Magufuli kina maana gani kwa Tanzania utaanza kupona hiyo sonona iliyokuingia tangia march 17.
 
Wazalendo wapo kaburini. Halafu siku ukikubali kuwa kifo cha Magufuli kina maana gani kwa Tanzania utaanza kupona hiyo sonona iliyokuingia tangia march 17.
Taahira, kaa kimya.
 
Rais anashughulika na watu waliochongea ndege kukamatwa? Waliofurahi watu wafe kwa korona? Hii sio sawa.
Unasema kwa mihemko adi huruma...tulia democracy inarudi mahali pake
 
Nimewauliza kama wali victimize uchaguzi mzima wa 2020 mantiki yao ya kupambana na wabunge 19 wa chama chao wenyewe ina tija gani, wakabaki kutukana matusi nikasema hakuna chama hapa. Nafikiri ccm wataendelea kukaa sana kwa aina hii ya watu wenye low thinking capacity...
 
Rais anashughulika na watu waliochongea ndege kukamatwa? Waliofurahi watu wafe kwa korona? Hii sio sawa.
Unamaanisha walipuuza kinga za kisayansi na kukumbatia uganga wa kienyeji, wakaficha takwimu za wagonjwa, wakazika watu usiku!? Unasemea waliodharau corona kakini ikapita nao?! Hao ndo walio furahia watu kufa na corona, na kama Mungu asingeingilia kati, tungeisha! Na kwa taarifa yako, mama hakutani na CHADEMA tu, anapata ushauri mkubwa na mzuri toka kwa JK! Meza wembe!
 
Yaani wewe unaakili kuizidi serikali na hasa Rais???

Acha ufitini usio na maana,tambua CHADEMA,ccm,act,cuf,nk wote Ni watanzania na tunahaki sawa.

Rais pia ni binadamu, kwa hiyo unadhan raisi Ndo ana akili sana kuliko mtu mwingine? Basi ingekua hivyo asingekua na wasaidizi wala watu wa kumshauri. Na nikukumbushe tu huyo raisi aliyemafarakani hakua chaguo la watanzania, so Ondoa hiyo kauli yako ya kumfanya raisi aonekane ni Mungu , we lost our beloved magufuli so kuwa raisi haimaanishi kitu
 
CCM haikai madarakani kwa sababu ya ufinyu wa fikra za wapinzani, bali kwa sababu ya wajuaji wenye low thinking capacity, kama Wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…