kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 10,406
- 19,892
Kwani chadema na Act si ni branches za ccm, au zilishajitoa?Hapa Tanzania vyama vya siasa ni viwili tu au vitatu tu. Ni Chadema, CCM na angalau Act. Vingine vinaangukia kwenye kundi la pili hapo juu