Pre GE2025 Rais Samia: Kuna Mbwa Mpumbavu anabwekea maendeleo yetu
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Acha uongo kijana, hivi kwanini mnapenda kugeuza maneno ya mtu aliyosema na kuyatia maana yako tofauti ili kupotosha..!!

Ule ni mstari wa mwisho wa nyimbo ya free style ya Mwana FA alipoimba pale Kizimkazi kwa kuombwa just kuleta burudani kidogo pale katika sherehe tu, wala haina uhusiano kabisa na mambo ya kisiasa, ni nyimbo tu, acha uongo wewe..!
Ule wimbo ulipangwa na mama akapanga yake kuongezea nyama.
 
Mkuu, tungekuwa na shida kivipi? ebu fafanua kwa manuufaa ya UMAA
Kama by mwaka 2020 alikuwa ananyanga'anya wenye mabillions NMB na CRDB, leo angekuwa ananyang'anya wenye makumi ya millions.

Kama alinyanga'nya fegha za bureaux de change, leo angekuwa ananyang'anya kwenye Stationery na maduka ya nguo
 
Kuna mwimbo kwa mfano wa Twanga Pepeta unasema " Twanga Pepeta ninavyojpenda nitakunywa Sumu Juu yake"

Sasa wimbo wa FA umetaja Mbwa tatizo liko wapi?

Mlale Unono 😀
 
wewe ni baba wa familia, kuita watu mbwa hata kama ni analogy unaona sawa? unaweza kuwaita watoto wako mbwa kisa wanapiga kelele nyumbani kwao?
 
Maana anaijua yeye mungeaji na huyo mwanzilishi wa kauli hio, ila ijulikane tu wakati haudumu, kesho sio mbali sana na leo.
 
Mkuu, una uhakika sio mazeri wako huyo anayeambiwa maneno hayo?!.
 
Kakazia, hapo ni huyu aliyeonesha nia anaitwa umbwa au nani. wana fasihi nisaidieni.
 
Back
Top Bottom