Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Sasa kama wewe hujui umuhimu wa kulipa kodi, unakuja kuweka comments hapa kwa lengo gani? Nenda kwanza kajifunze umuhimu wa kulipa kodi ndio uje kuongea na mimi ukiwa na elimu. Mimi huwa naongea na watu wenye Akili tu.kuna umihumu gan wa kulipa kodi km kila mtu anatakiwa kutenda kama rais au waziri au mbunge au mtendaj ?
na huyu nae aseme yeye ni mfalme mpk maendeleo yake yasihojiwe au kukosolewa?Mkuu labda wewe ni La Saba B. Hiyo ni methali/ nahau tu. Usichulie serious sana
Mwalimu J K N aliulizwa whether Lyatonga Mrema wa NCCR anaweza kuwa Rais wa Tanzania!! Alijibu hivi "I can't leave my country to the dogs?
Kuna watu walichukia sana. Lakini baadaye wataalamu wa lugha walinyoosha
ww una matatizo ya akili , hoja sio msemaji bali hoja yeye kama kiongoz wa nchi ni sahihi kutizama kama mbwa baadhi ya wananchi wasioridhishwa na utendaji wake ?Watu tuache unafki, hata angekuwa Magu bado mngesema hivihivi..,
Kwa hiyo sasa hivi hatuna shida kubwa?Samia yupo sana mpaka 2030, ceteris paribus.
Hii nchi wangeichukua akina Bashiru Ally au Job Ndugai kama walivyotaka kabla Mabeyo CDF hajaongilia kati, saa hizi tungekuwa na shida kubwa.
Yeye ni mama mbwa?Hata siyo utani
Wanaobwekea maendeleo yetu ya ndege, sgr, bwawa la umeme, uwanja wa ndege kama ule wa chato , Kizimkazi festival wanajulikana. Asante Mama kwa kuwachana
Si bongo mkuu wanguThere's an urgent need to make psychology check up a mandatory constitutional requirement for Presidential candidates.
Kwabini tusiringe? Unakuja mgeni kwa mwenye nyumba balafu unataka utambe kwake?
Jogoo la shamba haliwiki mjini.
Hata siyo utani
Wanaobwekea maendeleo yetu ya ndege, sgr, bwawa la umeme, uwanja wa ndege kama ule wa chato , Kizimkazi festival wanajulikana. Asante Mama kwa kuwachana
Mbwa mpumbavu ndiyo anaweza bwekea ndegeMtanikumbuka ππππ