milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Utaahira ni ugonjwa mtu anaweza kutibiwa. Lakini upumbavu ni sifa ambayo haina tibanaamua kukupuuza, ukilewa visungura vyako unajiona unafahamu kila kitu kumbe bwege tu.
Rais Samia alitoa kauli hiyo wakati alipo muomba Naibu waziri wa Sanaa na michezo maarufu kama Mwana Fa kuimba mashairi wakati akitaka kuanza kuongea na wana Zanzibar katika uzinduzi wa Suluhu Sports Club.
katika sehemu aliyoimba Mwana FA ambaye ni Naibu Waziri wa Sanaa na Michezo alisema "mbwa mpumbavu ndiyo anaweza bwekea ndege". Baada ya hapo Rais Samia ndiyo akaongezea kusema Kuna Mbwa Mpumbavu anabwekea maendeleo yetu.
Mbona hakuzikwa nayo kama yakeMkuu labda wewe ni La Saba B. Hiyo ni methali/ nahau tu. Usichulie serious sana
Mwalimu J K N aliulizwa whether Lyatonga Mrema wa NCCR anaweza kuwa Rais wa Tanzania!! Alijibu hivi "I can't leave my country to the dogs?
Kuna watu walichukia sana. Lakini baadaye wataalamu wa lugha walinyoosha
Mkuu labda wewe ni La Saba B. Hiyo ni methali/ nahau tu. Usichulie serious sanaTanganyika ilipata hasara sana kurithishwa na Malaya kutoka Nchi ya nje ya kajambanane.kiongozi mwenye hekima hawezi kutoka kauri ya kijuha namna hiyo
Huyu ndo alihalibu nchi kabisa. Nchi ilikuwa inaenda shimoni chini yakeMtanikumbuka 😂😂😂😂
Yeye ni mbwa jike dume au?Rais Samia alitoa kauli hiyo wakati alipo muomba Naibu waziri wa Sanaa na michezo maarufu kama Mwana Fa kuimba mashairi wakati akitaka kuanza kuongea na wana Zanzibar katika uzinduzi wa Suluhu Sports Club.
katika sehemu aliyoimba Mwana FA ambaye ni Naibu Waziri wa Sanaa na Michezo alisema "mbwa mpumbavu ndiyo anaweza bwekea ndege". Baada ya hapo Rais Samia ndiyo akaongezea kusema Kuna Mbwa Mpumbavu anabwekea maendeleo yetu.
Alikuwa akiimba kutafuta pesa Sasa pesa anazo.FA anapoteza credit kwa waja kirahisi hivii, kumbe nae ni emptu mind.
Woiiiiiiih.
Mambo ya kudemka hayo huku KizimkaziKwa kweli Leo Rais umenichukiza na sijapenda Lugha ya matusi unayotumia. Huwezi kuita mtu mbwa hadharani hata Kama amekukosea. Wewe ni Rais wa Nchi sio wa VICOBA , Lugha ya misutano na Lugha ya matusi achana nayo. Ukishakuwa Rais wa Nchi Kuna maneno ya kuongea na maneno sio ya kuongea.
Kwa Sasa nakushauri tu achana na matusi ipo siku utatukana tusi baya kwenye jukwaa hata hao chawa wako watashindwa jinsi ya kukutetea.