Pre GE2025 Rais Samia: Kuna Mbwa Mpumbavu anabwekea maendeleo yetu
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Rais Samia alitoa kauli hiyo wakati alipo muomba Naibu waziri wa Sanaa na michezo maarufu kama Mwana Fa kuimba mashairi wakati akitaka kuanza kuongea na wana Zanzibar katika uzinduzi wa Suluhu Sports Club.

katika sehemu aliyoimba Mwana FA ambaye ni Naibu Waziri wa Sanaa na Michezo alisema "mbwa mpumbavu ndiyo anaweza bwekea ndege". Baada ya hapo Rais Samia ndiyo akaongezea kusema Kuna Mbwa Mpumbavu anabwekea maendeleo yetu.

mwambieni Maza aende akaongee na Wamasai .... anaogopa nini kama Ngorongoro hajaifanyia Biashara na Wajomba zake huko Oman.
 
Mkuu labda wewe ni La Saba B. Hiyo ni methali/ nahau tu. Usichulie serious sana

Mwalimu J K N aliulizwa whether Lyatonga Mrema wa NCCR anaweza kuwa Rais wa Tanzania!! Alijibu hivi "I can't leave my country to the dogs?

Kuna watu walichukia sana. Lakini baadaye wataalamu wa lugha walinyoosha
 
Mbona hakuzikwa nayo kama yake
 
Tanganyika ilipata hasara sana kurithishwa na Malaya kutoka Nchi ya nje ya kajambanane.kiongozi mwenye hekima hawezi kutoka kauri ya kijuha namna hiyo
Mkuu labda wewe ni La Saba B. Hiyo ni methali/ nahau tu. Usichulie serious sana

Mwalimu J K N aliulizwa whether Lyatonga Mrema wa NCCR anaweza kuwa Rais wa Tanzania!! Alijibu hivi "I can't leave my country to the dogs?

Kuna watu walichukia sana. Lakini baadaye wataalamu wa axioms za Kiingereza waliliweka sawa
 
Rais Samia alitoa kauli hiyo wakati alipo muomba Naibu waziri wa Sanaa na michezo maarufu kama Mwana Fa kuimba mashairi wakati akitaka kuanza kuongea na wana Zanzibar katika uzinduzi wa Suluhu Sports Club.

katika sehemu aliyoimba Mwana FA ambaye ni Naibu Waziri wa Sanaa na Michezo alisema "mbwa mpumbavu ndiyo anaweza bwekea ndege". Baada ya hapo Rais Samia ndiyo akaongezea kusema Kuna Mbwa Mpumbavu anabwekea maendeleo yetu.
Yeye ni mbwa jike dume au?
 
hatoboi na mpango wake...ndugai unadhani kalala tu...alisema tunakopa kopa tutakuja kupigwa mnada...na hatujapigwa mnada tumeuzwa kabisa...
 
Kwa kweli Leo Rais umenichukiza na sijapenda Lugha ya matusi unayotumia. Huwezi kuita mtu mbwa hadharani hata Kama amekukosea. Wewe ni Rais wa Nchi sio wa VICOBA , Lugha ya misutano na Lugha ya matusi achana nayo. Ukishakuwa Rais wa Nchi Kuna maneno ya kuongea na maneno sio ya kuongea.

Kwa Sasa nakushauri tu achana na matusi ipo siku utatukana tusi baya kwenye jukwaa hata hao chawa wako watashindwa jinsi ya kukutetea.
 
Mambo ya kudemka hayo huku Kizimkazi
 
Back
Top Bottom