Rais Samia, kuna mtu mmoja tu hapa Tanzania anaweza kukusaidia kuuvuka huu mtihani wa DP World na TEC - muite, ongea nae, msikilize, ufanye atachosema

habari yako bwana mwandosya
 
Sikiliza bwana, kiongozi anayeshawishika kusaini mkataba wa kuuza nchi yetu hatuna utani nae kabisa. Ulichomshauri wala hakiwezi kubadilisha chochote nchi nzima sasa wanajua alitaka kutupiga biashara kwa warabu. Kinachomponza ni pale alipoona kuwa Magufuli was wrong na Mimi ndiyo nipo correct... Ni hivi huyu anaandamwa na kivuli cha Magufuli. Kakumbatia majizi yaliondolewa Enzi za JPM. Kama umekumbatia tapeli basi na wewe dhamira ni ileile...na akajichanganya akagombea 2025 utaona mziki wake. Kwanza hii rasha rasha kuna kombora la masafa marefu limeandaliwa.
 

Uko sahihi Mwandosysa anaweza tatua tatizo hili..
Alifaa kuwa Rais kabisa
 
Mwandosysa alipaswa kuwa Rais baada ya Kikwete...
Tec wakapinga pia

Samahani mkuu The Boss Tueleze bila Chuki na Ushabiki,
Hivi Kwenye Zile kura ndani ya achama chetu CCM,
Mwandosya alikuwa wa ngapi??
Najua watu waliopatata kura nyingi ni Pamoja na January,Sikumbuki kama mwandosya hata kama alikuwepo kwenye Kinyang’anyiro,
Najua Alikuwepo kwenye Kinyang’anyiro cha 2005 na Alitanba sanaaa,
Ila 2015 BIG NO.
umeamua Kupotisha kwa Malengo fulani sitoyasema leo.

Je Kwenye CC alipita?
wajumbe walimchagua??
au ni Hisia zako tuu na Malengo yako fulani fulani ndio yame comments hapa?
 
You are truly A GREAT GREAT GREAT THINKER. You remember every incidence pretty well, That is why I dare to say you are a five star great thinker
 
Toka nianze kupiga kura miaka ya 90s' sikuwahi kuona Wala kishuhudia Rais wa Nchi anawatumia wajinga Kama kitenge,mwijaku na Zembwela kwenye issues nyeti Kama suala la Bandari😭😭.
yaani mwijaku au Zembwela anabishana na mwanadiplomasia nguli Kama Dr Slaa?, Mwanasheria nguli na jaji na waziri mkuu mstaafu Warioba?, Mzee Shivuji?, Dr Nshalla, Mzee Butiku... Afu bado Kuna wapumbavu wanaamini tuna Rais anayeweza kutupeleka mahali?. Watanzania tumezidi kuwa wajinga asee!.
 
 
Unachanganya mambo, Mambo ya mwalimu wa Mathe na Uhalisia wa maisha.

Maswala ya Scientific measures na Sampling kwenye hizi issue za Siasa
 
[emoji137]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…