Rais Samia, kuna mtu mmoja tu hapa Tanzania anaweza kukusaidia kuuvuka huu mtihani wa DP World na TEC - muite, ongea nae, msikilize, ufanye atachosema

Hapo ulipoandika kuna MTU MMOJA TU
Yaani Tanzania nzima yenye watu zaidi ya milioni sitini kuna mtu mmoja tu

Ndugu yangu Synthesizer ule uamuzi wa kutokuleta nyuzi hapa endelea nao mana mawazo yako yanakaribia kugota
MTU MMOJA TU kati ya wote ninaowafahamu mie, na ambae najua utendaji wake katika masuala kama haya. Kama yupo mwingine unaona ni mwenye busara zaidi ya Prof Mwandosya mtaje basi, na useme wazi ni vitu gani amefanya kama nilivyojieleza juu ya Prof. Mwandosya. Sio lazima awe Prof. Mwandosya, kama ambavyo sio lazima Waziri Mkuu awe Majaliwa, lakini Majaliwa alipoteuliwa yeye ndio alifahamika kati ya Watanzania milioni 60 kuwa apewe uwaziri Mkuu.

Kwa nini ushindwe kuelewa lojiki ndogo namna hii?
 
Kuna mambo huitaji sayansi kujua acha ubwege,
 
Ni kipi hamjui? Hivi mnadhani hajui watu wanaoweza kumshauri? Ukweli ni kwamba Samia anataka wale watu wenye kusema ndiyo mama. Hivi ukiwa rais mwenye akili nzuri unaweza kumpa ukuu wa mkoa mtu kama Chalamila? Au uwaziri mtu kama Mwingulu?
 
Karibu sana Professor. Ulikuwa umepotea sana!
 
hata wewe umeleta propaganda kama angekuwa na uwezo wa kusuluhisha mgogoro ni wazi angepewa uwaziri wa mambo ya nje, kuhusu boti yeye alikuwa analazimisha kama waziri wa uchukuzi anayedili na maswala ya usafiri wa bahari na maziwa wakati Magufuli alikuwa anakataa kupitishwa barabarani Kwa sababu kama waziri wa ujenzi barabara zipo chino yake.Mwisho aliyeshindwa no Magufuli.
Habari za mtoto wake kufadhiliwa zilielezwa kiundani na gazeti la Rai wakati huo kabla halijauzwa, kama alichafuliwa kwanini hakwenda mahakamani?
 
Mimi pia nipo na ni Mtanzania mwaminifu. Aniite nimshauri. Nipo tayari wakati wowote kuanzia sasa.
 
Etii
 
Mwizi anamshauri mwizi mwenzake
 
Yaani huyu akija na bible verses, hata mama hatakiwi kutuongoza!
 
samia ameshakula hela za ufisadi wa huo mkataba, shida ndipo ilipo
 
Jamani akuambie nn tena wakati kesha weka facts zote with examples?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…