Rashidi Jololo
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 1,704
- 2,858
Tumefunga mkanda hadi tundu la mwisho lakini bado Mkuu.👽👽Fungeni mikanda jamani
Halafu yule anasema hakuna Mtanzania atagongewa hodi nyumbani kwake kudaiwa deni la Taifa.Kipo kipindi chaja, mishahara itakuwa kizungumkuti!
Lakini pia, sio ajabu tukisikia bandari mojawapo imechukuliwa na wakopeshaji wetu, tusije laumu kuwa hatukuambiwa!
Ipo pia siku tukaambiwa, wakati umefika Kwa kila mtanzania kufunga mkanda Kwa kujibana zaidi na kufanya Kazi Kwa kujitolea bila malipo Kwa miezi kadhaa Kwa sababu serikali haina pesa, napo tusiseme hatukutahadharishwa!
Na kuna kipindi chaweza kuwepo Kwa kuambiwa kila mtanzania, aichangie nchi ili tulipie madeni tunayodaiwa ili tu tusifirisiwe, jamani, msije kusema mkuu hakuwaambia
Naenda zangu Burundi mapemaaa!!
Mh Rais amewaamini mno watu wake na ambapo anajua kabisa ni majizi sugu na yanaishi Kwa uwongouwongo mwingi kina j, mW, n, n.kTatizo anakopa sana , anakopa alafu majizi yanajipigia .
Rasimi tangu Leo 22 Dec 2022Ina maana zile ndoto za kuwa dona-kantri zimekufa ?..
usistaajabu unaehisi anaibiwa akawa ndio jizi lenyewe.Tatizo anakopa sana , anakopa alafu majizi yanajipigia .
Yeye mwenyewe ni jizi tu.Mh Rais amewaamini mno watu wake na ambapo anajua kabisa ni majizi sugu na yanaishi Kwa uwongouwongo mwingi kina j, mW, n, n.k
Doomsday enthusiastsKipo kipindi chaja, mishahara itakuwa kizungumkuti!
Lakini pia, sio ajabu tukisikia bandari mojawapo imechukuliwa na wakopeshaji wetu, tusije laumu kuwa hatukuambiwa!
Ipo pia siku tukaambiwa, wakati umefika Kwa kila mtanzania kufunga mkanda Kwa kujibana zaidi na kufanya Kazi Kwa kujitolea bila malipo Kwa miezi kadhaa Kwa sababu serikali haina pesa, napo tusiseme hatukutahadharishwa!
Na kuna kipindi chaweza kuwepo Kwa kuambiwa kila mtanzania, aichangie nchi ili tulipie madeni tunayodaiwa ili tu tusifirisiwe, jamani, msije kusema mkuu hakuwaambia
Naenda zangu Burundi mapemaaa!!
Mwenye ndoto yake alikwishakufa na ndoto zake. Alikufa kwa sababu ya hizo ndoto za kuwa dona-villageIna maana zile ndoto za kuwa dona-kantri zimekufa ?..
Uandishi gani huu, yaani unaongelea kauli wakati hujaiweka kukwaani? How do you assume everyone has heard her ?Kipo kipindi chaja, mishahara itakuwa kizungumkuti!