Rais Samia: Kuna vijineno Serikalini hakuna hela, ni kweli…

Swali;

1. Nani amebarikiwa kati ya AKOPAYE na AKOPESHWAYE?

Maana imeandikwa, AKOPAYE ni mtumwa wake Yeye Aliyemkopesha.

Nawaasa viongozi waache mawazo ya kitumwa,

Tufanye KAZI Kwa bidii, tule Kwa JASHO letu na tisaidie majirani wenye njaa.

Aamen.
 
Mimi nitaendelea kuwalaumu The state!


Unapositisha operation Eti kufanya remedy,aliepewa NAFASI Anakuwa hajiamini coz hakujipanga wala hana sera!

Atakacho fanya ni kula KWA Kasi kuendana na Muda akiamini muda Wake ni mchache kukalia kiti!!

Sasa mnajikuta mnaendeleza operation too late damage is done!!

Mi nawaambia nchi sio mahusiano ya mapenzi Kati ya mume na mke eti wapeane muda wa matazamio,nchi ni taasisi inayotaka instant reaction Ili kuponya Taifa!!

Mna lea Lea watu kwenye vyeo Ili mpate Nini NYIE!!?

Hao ni mama zenu KWANI!!?au wapenzi WENU!Mbona mnatukosea Sana raia!!?

Unaweza pata presha AISEH!


MUNGU ibariki Tanzania nchi yetu!
 
Kiswahili cha wapi hicho weye balangulu?"Kukosa mishahara kwa wakati" umemaanisha nini?
 
Watakao umia zaidi ni walamba asali kumbuka, raia wa kawaida hana chakupoteza zaidi ya kubadilisha location
 
Watu wameshalipwa Mzee, nchi inaenda kisasa, endeleeni kuota ndoto za mchana.

Kama mna nongwq, kaburi lile ni kubwa, nenda kafukiwe naye
 
Hata ktk ngazi ya familia ikifikia mahala watoto wanaomba chakula halafu baba anatoa majibu kama haya, ujue mwafwa!

Kwamba "chakula leo hakuna kwasabb jirani aliyekuwa kanikopesha fedha kaja leo asubuhi nimempa hela ya chakula cha leo. Na ili jirani huyu asichukue makochi na TV ilinilazimu kumlipa".

Kauli hii inaashiria tuko pabaya kama taifa, kauli ya kuishiwa pumzi ya kiuchumi, tunafilisika na nchi inaenda kupigwa mnada very soon.

Ndugai kama namuona vile!! Maana anaona angalizo lake lililopuuzwa sasa linatimia.

Sexless
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…