Rais Samia kuondoka Februari 24, 2022 kuelekea Dubai kushiriki maonyesho ya Expo 2020

wanaelewa basi....ni kuandika tu wakiwa ktk keyboard
 
Magufuli alikarabati shule nyingi tu na kununua Madawati nchi nzima! Huyo bibi ushungi anafanya maendeleo kwa kukopa hana jipya!
 
Ona ulivyo na akili ya kindergarten,kwa hiyo serikali ina invest kwenye social and economic infrastructure kwa ajili ya nani hasa?

Nimekudharau kabisa.
Ndomaana nakwambia hujui chochote kwenye maisha na probably wewe ni mtoto bado, wakati wenzako wanajitajirisha huko nyuma kabla ya hizi mbanga unazopost humu wewe ulikiwa wapi? Kama umeshindwa huko nyuma, ndo nakuuliza sasa:-

Haya ya Mama ako yatakusaidiaje??

Vijana acheni ushabiki wa kijinga nyuma ya keyboard, ingieni field muone.
 
Unajua gharama za safari akisafiri Raisi na jopo lake ama unajiongelesha hapa…huna uchungu na pesa za walalahoi wewe…
Hizo gharama hazipo katika bajeti au zilipangwa???Moja ya kazi za fedha ni hizo na zimepangiwa bajeti...Shida iko wapi
 
Status yako ni hii hapa 👇

 
Zwazwa kama zwazwa kwenye ubora wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…