The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Kwa hiyo? Nikajua ni 88 kumbe 77 ambyo huwa Marais wa jirani wanakuja kufungua au kufunga? Tafuta hoja nyingine.👇Dubai Expo ni 77
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo? Nikajua ni 88 kumbe 77 ambyo huwa Marais wa jirani wanakuja kufungua au kufunga? Tafuta hoja nyingine.👇Dubai Expo ni 77
Kwa hiyo kama ni Tecno? Nakusaidia sasa sio Tecno ni Infinix note 7 lite bei Chee.Ni Kazi sana kuelewesha mpumbavu.Na simu yenyewe unayotumia kumbe ni TECNO? Ni halali yako kuhangaika hivi, piga kazi jioni ukachukue 7000 yako.
Hauna hoja yoyote ya kunielewesha.
Ni exhibition kama exhibition nyingine tu sema wenzetu wako advanced tofouti na huku kwetu hivyo ni kama sabasaba tuDubai Expo ni 77
Kwa hiyo hoja yako ni ipi?Ni exhibition kama exhibition nyingine tu sema wenzetu wako advanced tofouti na huku kwetu hivyo ni kama sabasaba tu
wanaelewa basi....ni kuandika tu wakiwa ktk keyboardKabla ya kuhoji ungetumia bichwa lako kuyafuatilia..
Hayo ndio maonesho makubwa kabisa ya biashara na teknolojia Duniani,kila Nchi inayatumia kutafuta fursa na tuna Banda letu kule.
Marais wengi wameenda kujinadi Huko Ili kuvutia biashara,pia hayo maonyesho hufanyika kwa miezi 6 mfululizo.
Haya yanasaidiaje kukutoa kwenye dimbwi la umasikini??Kwa hiyo kama ni Tecno? Nakusaidia sasa sio Tecno ni Infinix note 7 lite bei Chee.Ni Kazi sana kuelewesha mpumbavu.
Mama yuko kazini 👇
View attachment 2129348
View attachment 2129349
View attachment 2129350
Magufuli alikarabati shule nyingi tu na kununua Madawati nchi nzima! Huyo bibi ushungi anafanya maendeleo kwa kukopa hana jipya!Miaka sita ya Magufuli hakwenda huko Ulaya wala kusafiri safiri nje ya nchi, kwa point yako hii nilitegemea hizo changamoto ulizozisema zingekuwa vimeshatatuliwa..
Vipi kuhusu ukarabati wa shule?? Tunaona kila shule imepata madarasa mapya, kwanini yule aliyekuwa hasafiri alishindwa?
Afu we jamaa tuna share surname ❤️❤️wanaelewa basi....ni kuandika tu wakiwa ktk keyboard
Utoto huo sasa.Afu we jamaa tuna share surname ❤️❤️
Ona ulivyo na akili ya kindergarten,kwa hiyo serikali ina invest kwenye social and economic infrastructure kwa ajili ya nani hasa?Haya yanasaidiaje kukutoa kwenye dimbwi la umasikini??
Wivu ,kwa hiyo kusema jamaa ana Surname ya Kalinga kama yangu ni utoto? Chuki mbaya sana,unaemchukia hata humjui 😬😬Utoto huo sasa.
Sana mkuu wana watu hawajui wanataka nini? Raisi anatimiza wajibuAchana na hao mburula mkuu,hao wanakaa kwao hata mwaka hawajahi toka Nje ya Mkoa .
Hivi SSH ni fundi wa mashine???Daah kwani hatuna ubalozi uko?!
Mashine za Kuscan Muhimbili hazifanyi kazi watu wanakwea mapipa tu…tutaelewana tu
Ndomaana nakwambia hujui chochote kwenye maisha na probably wewe ni mtoto bado, wakati wenzako wanajitajirisha huko nyuma kabla ya hizi mbanga unazopost humu wewe ulikiwa wapi? Kama umeshindwa huko nyuma, ndo nakuuliza sasa:-Ona ulivyo na akili ya kindergarten,kwa hiyo serikali ina invest kwenye social and economic infrastructure kwa ajili ya nani hasa?
Nimekudharau kabisa.
Hizo gharama hazipo katika bajeti au zilipangwa???Moja ya kazi za fedha ni hizo na zimepangiwa bajeti...Shida iko wapiUnajua gharama za safari akisafiri Raisi na jopo lake ama unajiongelesha hapa…huna uchungu na pesa za walalahoi wewe…
Status yako ni hii hapa 👇Ndomaana nakwambia hujui chochote kwenye maisha na probably wewe ni mtoto bado, wakati wenzako wanajitajirisha huko nyuma kabla ya hizi mbanga unazopost humu wewe ulikiwa wapi? Kama umeshindwa huko nyuma, ndo nakuuliza sasa:-
Haya ya Mama ako yatakusaidiaje??
Vijana acheni ushabiki wa kijinga nyuma ya keyboard, ingieni field muone.
Zwazwa kama zwazwa kwenye ubora wake.Umewahi ona wapi Samia anafanya ziara za hasara kama Mwendazake?
Aibu gani unayoisemea wewe? Pesa ni za mkopo na kama ni msaada ni jambo la Nchi husika kujiskia kutoa kwa sababu za urafiki nk..
China alipotoa msaada wa kujenga Tazara na Sasa kajenga Chuo cha Uongozi cha ccm umempa nini?
China huyo huyo kajenga Makao Makuu ya AU hapo Addis Ababa,walidai nini?
Mwisho,Rais kaenda Ufaransa si tuu karudi na connection za wafanyabiashara bali na pesa za mkopo na msaada juu.
Huko anakoenda ni sehemu ya jukwaa la biashara kwa hiyo inategemeana atakutana na makundi gani.
Wewe kwa akili yako umeona Serikali ya Samia ina struggle kutekeleza miradi iliyomtoa makamasi Mwendazake?