The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Mabilioni unayajua? Haya baada ya kurudi alicho secure no sawa na alichotumia? Hivi huwa mna reason au?Ile zile gharama za timu nzima ni kubwa mno, unatambua ya kwamba yeye binafsi gharama za kwenda ziara kule france na belgium ametumia zaidi ya milioni 250M hapo timu aliyosafiri nayo ambapo ukijumlisha hapo ni mabilioni kadhaa...
Hiyo pesa ni nyingi sana ingetosha kujenga vituo vya afya kadhaa hapa nchini ama kununua vitanda vya wagonjwa, wakati mwingine tuwe fair basi maana hata hatatulia safari nyingine imewadia tena…
Huko anapokwenda anatafuta fursa, zenye faida nyingi kuliko hiyo kodi yetu tunayomsimangia ya nauli ya kwenda na kurudi.
Kodi zako bei gani? Wewe unaishi kwa Kodi za nani?Yaani nyinyi chawa mnaishi kwa kodi zetu, halafu mnaleta maneno ya shombo humu! I wish siku moja mlipukiwe na ndege huko angani na mkaishie zenu bahari ili maisha yaendelee.
Alichokuja nacho amweka wazi amewela rehani kitu gani? Reason sonMabilioni unayajua? Haya baada ya kurudi alicho secure no sawa na alichotumia? Hivi huwa mna reason au?
Yaani nyinyi chawa mnaishi kwa kodi zetu, halafu mnaleta maneno ya shombo humu! I wish siku moja mlipukiwe na ndege huko angani na mkaishie zenu bahari ili maisha yaendelee.
Kabla cjaendelea naomba kujuzwa ... expo 2020 unamanisha nini
Ndio maana nimewauliza wamewahi ona wapi Rais kafanya safari ya hasara? Eti gharama,gharama sh.ngapi hiyo ukilinganishwa na faida Nchi inapata?Kuna waungwana wanahoji pesa ya kodi anayotumia kusafiri, yaani pesa inawauma sana. Wanachosahau ni kuwa huko nje anakwenda kutafuta fursa za maisha yao wenyewe.
Wakiletewa wawekezaji halafu wakapewa kazi, wanaanza kuzingua na masuala yao ya kuendekeza uswahili.
Sio kidogo mpwa, Magu alikuwa fair sana enzi zake alimuachia safari zote mama samia.Air Samia inakata anga baada ya anga. Lini atamuachia Mpango safari za nje ya bara la Africa. Naona Mpango yeye anasafiri hapa hapa Africa. Kama nawaona walinzi wa Magu wanapata wivu. 😭.Hizi per diem walizikosa maskini.
Utuambie wewe hiyo tehani inatoka wapi,nimekuuliza swala hujajibu,,China walijenga reli ya Tazara haya tuambie tuliweka rehani nini?Alichokuja nacho amweka wazi amewela rehani kitu gani? Reason son
Kwanza aliishia kujaza nchi madeni ya kufa mtu, uchumi haundi,majungu kila siku yaani full rubbish..Mama asafiri tu yule mwenda zake alikosa exposer ya mambo ya nje kujua watu wanaishije ki civilization akawa kama mnyama,
Tuweke list ya maraisi waliokwenda huko tafadhali?Kwanza aliishia kujaza nchi madeni ya kufa mtu, uchumi haundi,majungu kila siku yaani full rubbish..
Huko Dubai Marais wengi wa Dunia wameenda kila mmja kwa nafasi yake kwa ajili ya kujinadi..
Kwani kusafiri ni suala la fair? Kuna sehemu zinamhitaji Rais per say,,VP hajatoka Ethiopia juzi? Majaliwa alienda Ufaransa mapema mwaka 2021.Sio kidogo mpwa, Magu alikuwa fair sana enzi zake alimuachia safari zote mama samia.
Yeye amekaba kote hataki hata mpango ama majaliwa kutoka nje ya nchi.
Hii ni dalili ya ubinafsi wa hali ya juu..
Ila hawa vijana wasipotajirika na hizi safari sijui tu
Mseven,Sri Lanka,Turkey,Kenyatta,Kagame nk..Tuweke list ya maraisi waliokwenda huko tafadhali?
Katibu mkuu wa Wizara ya Uwekezaji aliyeko Dubai amesema Rais Samia ataondoka Tanzania kuelekea Dubai kushiriki maonesho ya Expo 2020
Wawekezaji wengi sana wameonesha nia ya kuja kuwekeza Tanzania, amesema Katibu mkuu.
Chanzo: TBC
Mwaka huuMseven,Sri Lanka,Turkey,Kenyatta,Kagame nk..
Sio kila kitu uwekewe,tumia bando google utaona Dubai expo 2020 .
Aisee wewe ni bure kabisa,hiyo expo inaitwa Dubai world expo 2020,ilikuwa ifanyike 2020 ikasitishwa coz of covid 19.Mwaka huu