Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,790
- 2,232
Acha umbea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania tuna fursa za kubwa sana kiuwekezaji ila inchi ipo kama watu wasiokuwa na akili ushamba mwingi sanaKwanza aliishia kujaza nchi madeni ya kufa mtu, uchumi haundi,majungu kila siku yaani full rubbish..
Huko Dubai Marais wengi wa Dunia wameenda kila mmja kwa nafasi yake kwa ajili ya kujinadi..
Huyo mbwiga hata ndege hawezi kuijua,.Yaani nyinyi chawa mnaishi kwa kodi zetu, halafu mnaleta maneno ya shombo humu! I wish siku moja mlipukiwe na ndege huko angani na mkaishie zenu bahari ili maisha yaendelee.
Wajinga wanaoongea upopoma.wao humu ndani waambie wawekeze hata mgodi mdogo,hawana hata sululu 🤣🤣🤣🤣.Tanzania tuna fursa za kubwa sana kiuwekezaji ila inchi ipo kama watu wasiokuwa na akili ushamba mwingi sana
Najua mama akienda huko ukiacha kutafuta fursa za uwekaziji lakini atajifunsa siasa za dunia na Dekrosia ua kweli kwenye maendeleo
🚮🚮🚮Mwaka huu
🚮🚮🚮Huyo mbwiga hata ndege hawezi kuijua,.
Emirate washapatq mteja konkiHata kama ndio kufungua Nchi hii speed imezidi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio hivyo mkuu,kaning'inie kwenye mtiEmirate washapatq mteja konki
Huyu ni chawa pro max misemo ya vijana anakunja 7000 yake kwa siku anakuja kubwabwaja huku mtandaoni…Mada inahusu SSH wewe unaleta hoja za JPM, ndiomaana nikasema wewe ni zao la zile four za 28 za kipindi kile.
Tulia wewe,tunaenda hivi 👇Hivi premier ya e movie kacheza mama ni lini?
Ndio unavyojifariji sio? Wala siko hata ccm,mimi nina shughuli zangu kabisaa wala hazihusiani na 7,000..Huyu ni chawa pro max misemo ya vijana anakunja 7000 yake kwa siku anakuja kubwabwaja huku mtandaoni…
🤣🤣🤣 Huyu atakuwa zaidi ya Vasco da Gama!Katibu mkuu wa Wizara ya Uwekezaji aliyeko Dubai amesema Rais Samia ataondoka Tanzania kuelekea Dubai kushiriki maonesho ya Expo 2020
Wawekezaji wengi sana wameonesha nia ya kuja kuwekeza Tanzania, amesema Katibu mkuu.
Chanzo: TBC
Vasco Da Gama mpya , rekodi ya kikwete mashakaniKatibu mkuu wa Wizara ya Uwekezaji aliyeko Dubai amesema Rais Samia ataondoka Tanzania kuelekea Dubai kushiriki maonesho ya Expo 2020
Wawekezaji wengi sana wameonesha nia ya kuja kuwekeza Tanzania, amesema Katibu mkuu.
Chanzo: TBC
Mama anaenda kushiriki maonesho aina ya sabasaba kweli? Ndio amefikia hatua hii?
Nalisikitikia taifa langu la Tanzania kwa kupata mzurulaji mzuri kama huyu
Sawa kwani kuna shida gani? She knows what she does.Vasco Da Gama mpya , rekodi ya kikwete mashakani
Komredi kuhusu gharama nakukumbusha utawala uliopita ulitoa mathalani BILIONI 1 kuipa timu ya taifa ya vijana.....Ile zile gharama za timu nzima ni kubwa mno, unatambua ya kwamba yeye binafsi gharama za kwenda ziara kule france na belgium ametumia zaidi ya milioni 250M hapo timu aliyosafiri nayo ambapo ukijumlisha hapo ni mabilioni kadhaa...
Hiyo pesa ni nyingi sana ingetosha kujenga vituo vya afya kadhaa hapa nchini ama kununua vitanda vya wagonjwa, wakati mwingine tuwe fair basi maana hata hatatulia safari nyingine imewadia tena…
Zipo safari za SSH na zipo za wasaidizi wake. Nadhani unakumbuka JPM hakuwahi kuvuka ile bahari inayotenganisha Libya na Italy, yeye alikuwa wa humu humu TZ.Sio kidogo mpwa, Magu alikuwa fair sana enzi zake alimuachia safari zote mama samia.
Yeye amekaba kote hataki hata mpango ama majaliwa kutoka nje ya nchi.
Hii ni dalili ya ubinafsi wa hali ya juu..
Ila hawa vijana wasipotajirika na hizi safari sijui tu
Unapotembea unapata nafasi ya kuongea na ma-CEO wa makampuni makubwa katika ukaribu na wao wakasikia nini kilichopo nchini mwako. Tofauti na kutegemea wasaidizi wako. Ule muonekano wa rais unampa imani mwekezaji kwamba Tanzania ni mahali makini na panafaa kufanya biashara.Kwanza aliishia kujaza nchi madeni ya kufa mtu, uchumi haundi,majungu kila siku yaani full rubbish..
Huko Dubai Marais wengi wa Dunia wameenda kila mmja kwa nafasi yake kwa ajili ya kujinadi..