Rais Samia kuondoka Februari 24, 2022 kuelekea Dubai kushiriki maonyesho ya Expo 2020

Rais Samia kuondoka Februari 24, 2022 kuelekea Dubai kushiriki maonyesho ya Expo 2020

Kwanza aliishia kujaza nchi madeni ya kufa mtu, uchumi haundi,majungu kila siku yaani full rubbish..

Huko Dubai Marais wengi wa Dunia wameenda kila mmja kwa nafasi yake kwa ajili ya kujinadi..
Tanzania tuna fursa za kubwa sana kiuwekezaji ila inchi ipo kama watu wasiokuwa na akili ushamba mwingi sana

Najua mama akienda huko ukiacha kutafuta fursa za uwekaziji lakini atajifunsa siasa za dunia na Dekrosia ua kweli kwenye maendeleo
 
Yaani nyinyi chawa mnaishi kwa kodi zetu, halafu mnaleta maneno ya shombo humu! I wish siku moja mlipukiwe na ndege huko angani na mkaishie zenu bahari ili maisha yaendelee.
Huyo mbwiga hata ndege hawezi kuijua,.
 
Tanzania tuna fursa za kubwa sana kiuwekezaji ila inchi ipo kama watu wasiokuwa na akili ushamba mwingi sana

Najua mama akienda huko ukiacha kutafuta fursa za uwekaziji lakini atajifunsa siasa za dunia na Dekrosia ua kweli kwenye maendeleo
Wajinga wanaoongea upopoma.wao humu ndani waambie wawekeze hata mgodi mdogo,hawana hata sululu 🤣🤣🤣🤣.

Watakwambia Tzn ni Nchi tajiri tuna rasilimali nyingi,so what ? Ukiwa mjinga na usipotafuta maarifa zotakusaidia nini sasa hizo rasilimali?
 
Hivi premier ya e movie kacheza mama ni lini?
Tulia wewe,tunaenda hivi 👇

Screenshot_20220220-093609.png

Screenshot_20220220-093411.png

Screenshot_20220220-093602.png
 
Huyu ni chawa pro max misemo ya vijana anakunja 7000 yake kwa siku anakuja kubwabwaja huku mtandaoni…
Ndio unavyojifariji sio? Wala siko hata ccm,mimi nina shughuli zangu kabisaa wala hazihusiani na 7,000..

Nafurahi kwa sababu tumepata Neema kipindi cha mama kwenye Kazi zetu za ukandarasi,miradi kama yote,,ikumbukwe chini ya Mwendazake suma jkt ndio walikuwa wakandarasi wa serikali 🤣🤣
 
Katibu mkuu wa Wizara ya Uwekezaji aliyeko Dubai amesema Rais Samia ataondoka Tanzania kuelekea Dubai kushiriki maonesho ya Expo 2020

Wawekezaji wengi sana wameonesha nia ya kuja kuwekeza Tanzania, amesema Katibu mkuu.

Chanzo: TBC
🤣🤣🤣 Huyu atakuwa zaidi ya Vasco da Gama!
 
Katibu mkuu wa Wizara ya Uwekezaji aliyeko Dubai amesema Rais Samia ataondoka Tanzania kuelekea Dubai kushiriki maonesho ya Expo 2020

Wawekezaji wengi sana wameonesha nia ya kuja kuwekeza Tanzania, amesema Katibu mkuu.

Chanzo: TBC
Vasco Da Gama mpya , rekodi ya kikwete mashakani
 
Ile zile gharama za timu nzima ni kubwa mno, unatambua ya kwamba yeye binafsi gharama za kwenda ziara kule france na belgium ametumia zaidi ya milioni 250M hapo timu aliyosafiri nayo ambapo ukijumlisha hapo ni mabilioni kadhaa...

Hiyo pesa ni nyingi sana ingetosha kujenga vituo vya afya kadhaa hapa nchini ama kununua vitanda vya wagonjwa, wakati mwingine tuwe fair basi maana hata hatatulia safari nyingine imewadia tena…
Komredi kuhusu gharama nakukumbusha utawala uliopita ulitoa mathalani BILIONI 1 kuipa timu ya taifa ya vijana.....

Serikali ina matumizi mengi...hupangwa vyema na miongoni mwao ni hizo safari.....
 
Sio kidogo mpwa, Magu alikuwa fair sana enzi zake alimuachia safari zote mama samia.

Yeye amekaba kote hataki hata mpango ama majaliwa kutoka nje ya nchi.

Hii ni dalili ya ubinafsi wa hali ya juu..

Ila hawa vijana wasipotajirika na hizi safari sijui tu
Zipo safari za SSH na zipo za wasaidizi wake. Nadhani unakumbuka JPM hakuwahi kuvuka ile bahari inayotenganisha Libya na Italy, yeye alikuwa wa humu humu TZ.

SSH kaamua kuja na mtazamo mwingine wa kidiplomasia zaidi.
 
Kwanza aliishia kujaza nchi madeni ya kufa mtu, uchumi haundi,majungu kila siku yaani full rubbish..

Huko Dubai Marais wengi wa Dunia wameenda kila mmja kwa nafasi yake kwa ajili ya kujinadi..
Unapotembea unapata nafasi ya kuongea na ma-CEO wa makampuni makubwa katika ukaribu na wao wakasikia nini kilichopo nchini mwako. Tofauti na kutegemea wasaidizi wako. Ule muonekano wa rais unampa imani mwekezaji kwamba Tanzania ni mahali makini na panafaa kufanya biashara.
 
Back
Top Bottom