Rais Samia kushusha zaidi bei ya mafuta mwishoni mwa Desemba 2021

Hii nzuri sana
 
Thubutuuuuuuuuuu

Labda nchi nyingine, Kwa vongozi Hawa ambao wanawaza kuongeza Tozo kila wakati ndio washushe Bei?
Nitahamia Rwanda walahi
Sasa unapinga nini hapo cha kupingwa??

So negative minded
 
safi sana
 
Safi Sana
 
Hakunaga gia ya rivasi hapa bongolala kwenye bei za bidhaa....
 
Mwanamfalme alisharudi rasmi kwenye hii biashara ya Mafuta. Na Mfalme ndiyo remote control. Hivyo bei ya Mafuta itapanda Sana kufidia zile zilizopotea miaka 5 iliyopita. Yaani awamu ya 6 itatumika kumaliza deficit za financial statements na profit making ya nguvu. Mateso juu ya mateso.
 
Mleta mada itakuwa mgeni nchini, hivi kuna bidhaa Tanzania iliwahi kupanda halafu ikashuka mbona kwenye sukari ilishindikana?
Hawa waanzisha mada za kusifia pasi kurudi nyuma ndiyo wale walio ipa ccm sifa ya kuwa chama chenye wafuasi wengi.

Wao ni No retreat No ....! Yaani hata kama wanajua hii haiwezekani wao ni mbele kwa mbele tu.
 
Safi sana hii
 
Bado siku ishirini (20) Jombaa! Tuendelee kupeana updates!
 
Watendaji wanapaswa wasimamie kuhakikisha utekelezaji unatimia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…