Rais Samia kushusha zaidi bei ya mafuta mwishoni mwa Desemba 2021

Mama yetu kipenzi japo Mimi CHADEMA
 
Baada ya kusoma sana comments za watu kweli nchi hii tunakazi kubwa sana hivi kweli mtu anaamini kabisa kuwa kuna mafuta ya bei rahisi? mafuta yanaamuliwa na bei ya soko la dunia na hata refine products bei zinapangwa kidunia wanatumia Platts kama benchmark ya bei. Ukitaka ushindani wa kibiashara ni kuacha soko liamue na washindani washindane ndani hii ya kuleta pamoja unaondoa ushindani. Hakuna nchi duniani ikakupa mafuta bei rahisi hizo nchi mafuta ni income yao kama sisi dhahabu huku eti aje mtu huku tuuzie dhahabu bei rahisi kidogo? December si keshokutwa tu kama na kama utasikia tumeshusha Sh 13 kwa liter haya tumpongeze Mama. Hakuna siasa katika biashara zile biashara kuna wawekezaji wamewekeza kupata faida sio kusaidia na crude itapanda kupita dola 100 mpaka mwakani.
 
Thubutuuuuuuuuuu

Labda nchi nyingine, Kwa vongozi Hawa ambao wanawaza kuongeza Tozo kila wakati ndio washushe Bei?
Nitahamia Rwanda walahi
Tunawaza pamoja. This is impossible under CCM
 
Team Mwendazake njooni mjionee mambo bulbul ya mama huku.
 
Kwa Nini Bei ya mafuta nchi za jirani Kama Zambia ni Tsh 1,800 hapa Tanzania Tsh 2,400 Tena sisi tuna bandari 3 nchi hizo za jirani hazina bandari. hii Serikali inacheza na akili za watu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Muda ni rafiki mzuri
Muda ni msema kweli
Muda ni muandishi mzuri.
 
Safi sana hii, Tanzania nakupenda sana,

Hakuna Kama Rais Samia😍😍
 
Safi sana hii, Tanzania nakupenda sana,

Hakuna Kama Rais Samia😍😍
 
We hujaelewa nini sasa kwa sasa tunanunua kwa watu binafsi ambao wao ndo wanaagiza so wanatupindua watakavyo, ila sasa mama kaamua serikali iagize direct ktk wenye visima, apo ndo wawe na wataalam wa kuagiza na kununua kwa bei nzuri wakati demand ipo low wananunua mengi maana bei inakua chini, mfano korona ikikolea bei ya crude nayo inashuka,
 
Safi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…