Rais Samia kushusha zaidi bei ya mafuta mwishoni mwa Desemba 2021

Kwani hakuyajua hayo kabla!!!
 
Hebu jiongeze kidogo bwana hii biashara haifanywi na wenye visima sasa ngoja nikupe somo kidogo issue iko wapi. wazalishaji wa crude ni wengine na refining ni wengine hata kama kampuni moja wanaigawa upstream na downstream. Hawa wanaouza crude ni kampuni na zina shareholders dhumuni lao faida na hawa control bei soko la dunia lina amua bei kutokana na mahitaji ndio maana hata wao kuna kipindi wanapata shida bei zikishuka. Refining ni business tofauti wananunua crude wanatengeneza products na kuna gharama zake ni kuchukuwa malighafi na kuifanya products. Sasa huwezi kuwa bei inapanda ya crude ukategemea mafuta refining yakawa rahisi zinapanda mpaka plastic bei. ukija kwenye point yako unanunua direct lazima ujuwe soko hili halijaanza leo kampuni hizohizo zinatengeneza kampuni ndani ya kampuni kufanya biashara sio wajinga na wala hawa deal na mteja direct wanakuwa na mikataba na ma agent kuwafanyia marketing kuepuka milolongo ndio mzunguko wa pesa sasa jiulize huko nyuma serikali haikuwa naagiza mafuta direct? kiliwashinda nini? si wameleta bulk system mafuta yanaagizwa na watu walishinda tender za serikali sasa kimewashinda nini? kwa maana serikali inasimamia zoezi la kuagiza mafuta wao sio watu binafsi kama unavyosema hapa. Ukitaka kuleta ushindani ni kuwaachia private sector waagize mafuta na washindane kama wao sio unaleta kupitia bulk system na wanatumia platts benchmark kupanga bei halafu wewe unawapa bei elekezi utegemee ushindani ni ujinga. TPDC yaliwashinda haya vibaya urasimu mkubwa na kuajiri wafanyakazi bila kazi zozote. Sasa weka kumbukumbu tuone kama haya mafuta yatashuka bei na siasa za kijinga haya mafuta wameshasema yatafika mpaka 120$ uje useme wakupe bei rahisi wewe nani? kwa faida yako hawa wanaoleta bulk system wana bid na faida yao wanaleta wanachukuwa chao wanaondoka hawafanyi retail trade hapa. Unaweza kweli kuleta mahindi mfano serikali na kusema mahindi yote nauza sh 1000 kwa kilo kwa ujumla utegemee reja reja washindane? ila kila mtu akileta mahindi yake kutakuwa na ushindani wa bei. msilete mambo ya kijamaa hapa serikali yake kukusanya kodi sio kufanya biashara yalishatushinda huko nyuma.
 
Sasa ndo mama kamua kucancel kununua kwa hao supplier ye anataka direct kutoka kwa hao wachakataji maana supplier wataongeza pacnt yao pia Na fees zisizo maana
 
Sasa ndo mama kamua kucancel kununua kwa hao supplier ye anataka direct kutoka kwa hao wachakataji maana supplier wataongeza pacnt yao pia Na fees zisizo maana
Niamini maneno yangu hakuna fees yoyote wao wenyewe wanayakoroga. Hawatizami umenunua bei gani wewe unaweka faida yako juu ya bei ya kimataifa ndio EWURA wanatumia. Mafuta duniani kuna benchmark mbili Brent na WTI lakini haina maana mafuta yote yanauzwa kwa bei ya brent ila kama yanafikia kiwango cha brent hawa EWURA wanatumia benchmark kama bei halisi hapo ndio shida. Wafanya biashara wanataka kushindana kwa kuuza zaidi kila mtu wewe unawafungia kama unauza maji ya Uhai. Lazima wabadilike soko liamue ushindani hakuna mambo bei elekezi wakati wewe huzalishi mafuta au kutoa ruzuku.
 
Sasa ndo mama kamua kucancel kununua kwa hao supplier ye anataka direct kutoka kwa hao wachakataji maana supplier wataongeza pacnt yao pia Na fees zisizo maana
Siri ya biashara kama unataka kununua gari mpya ya Toyota huwezi hata siku moja ukaweka order kiwandani unapitia kwa dealer na kikubwa kiwandani utauziwa bei ya juu kuliko dealer ndio biashara dealer anapewa discount kubwa kutokana na ukubwa wa biashara.
 

Ok ok Kama Nakuelewa hivi,
Kwa hiyo Hakutakiwa tena na Bulk procuremnt au itaendelea kuwepo?
Na Tpdc atawafikiaje wananchi wa kawaida wa Mwanza,Moshi,Mbeya,Morogoro nk?
 
Tunajiandaaje kumpongeza Mama kwa kuweka tozo na kuziondoa ndani ya muda mfupi
 
Mchapakazi wa kweli
 
Inaelekea lipo kundi kubwa la wapambe wenye jukumu la kuinba sifa..
Wewe upo kundi gani?
Wewe upo kundi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…