Wao walishawah kuja kuhutubia. Wakenya siwapendi wanajidai sana na kutuzalau sanaRais wa Jamhuri ya muungano mheshimiwa Samia Suluhu anatarajia kulihutubia bunge la Kenya wakati atakapofanya ziara ya siku mbili nchini humo kuanzia kesho kutwa.
Hii no heshima kubwa inayotolewa kwa Tanzania baada ya Jakaya Kikwete kulihutubia bunge hilo wakati akiwaaga rasmi.
Aliwahi kutokea mmoja hata kuongea na waandishi wa habari tena wa kihaya pale Uganda alishindwa! Nini maoni yako juu ya tukio lile?🤓🤓🤓Kuhutubia bunge la Kenya ni heshima?
Jamani kwanini chadema mnajidharau sana?
Mimi nilifikiri mnajidharau kwa wazungu tu kumbe hata kwa waafrika wenzenu toka hapo Kenya?
Any way,
Tuendelee kudemka tukisema Samia mi 10 tena. Na ccm mbele kwa mbele.
Marehemu hakomolewi.Mkuu kwa akili za kibavicha ni kwamba hiyo wanamkomoa marehemu.
Rais wa Jamhuri ya muungano mheshimiwa Samia Suluhu anatarajia kulihutubia bunge la Kenya wakati atakapofanya ziara ya siku mbili nchini humo kuanzia kesho kutwa.
Hii no heshima kubwa inayotolewa kwa Tanzania baada ya Jakaya Kikwete kulihutubia bunge hilo wakati akiwaaga rasmi.
View attachment 1771171
Kama hujui heshima ya kuhutubia Bunge la nchi nyingine, basi hujui chochote kuhusu diplomasia.Kuhutubia bunge la Kenya ni heshima?
Tatizo lake ni kwamba anayehutubia siyo Jiwe, na kwamba hakuwahi kupata bahati kama hiyo. Hivi nchi gani ingekubali bunge lake lihutubiwe hotuba kama zile.......Kama hujui heshima ya kuhutubia Bunge la nchi nyingine, basi hujui chochote kuhusu diplomasia.
Watu wa Shujaa hawawezi kukuelewa, kwa sababu heshima kama hizo hakuweza kuzipata.Hakuna ubaya wa Raisi SSH kuhutubia jirani yetu,ni heshima kwa taifa letu.
Labda matokeo ya mazungumzo yao ya serikali hizi mbili ndio kitakuwa kipimo cha mafanikio.
Basi wanafeli sana!Marehemu hakomolewi.
Kwa siasa zilivyo mara nyingi vyama pinzani huwachokoza walio wengi ili wapate Tamaa.
Hapa CDM wanawachokonoa team JPM maana Ndio walio wengi ili wachukie mama.
Utaumia sana. Habari za Chato?Kuhutubia bunge la Kenya ni heshima?
Jamani kwanini chadema mnajidharau sana?
Mimi nilifikiri mnajidharau kwa wazungu tu kumbe hata kwa waafrika wenzenu toka hapo Kenya?
Any way,
Tuendelee kudemka tukisema Samia mi 10 tena. Na ccm mbele kwa mbele.
Hivi nani aliyepata hasara zaidi? Aliyefungia lakini yupo hai au aliyeidharau corona, halafu ikamwondoa Duniani?Yani wewe unipige mimi korona.
Unaitoa wapi wakati wewe na mwenyekiti wako muda wote mlijifungia uvunguni kuogopa corona?
Umesahau kwamba chanzo cha chama lako kuanguka lilianza siku ile mwenyekiti wako ameamuru wabunge wajifungie uvunguni kuogopa corona?
Jiwe alikuwa na utoto mwingi. Kila klabu ina tamaduni zake....Tatizo lake ni kwamba anayehutubia siyo Jiwe, na kwamba hakuwahi kupata bahati kama hiyo. Hivi nchi gani ingekubali bunge lake lihutubiwe hotuba kama zile.......
Magufuli adui wa demekrosia so adui wa Chadema.Basi wanafeli sana!
Ndio maana nilikuwa nauliza swali humu kwamba hivi chadema adui yao ni ccm au Magufuli?
Eeeenh Heee.Hii no heshima kubwa inayotolewa kwa Tanzania baada ya Jakaya Kikwete kulihutubia bunge hilo wakati akiwaaga rasmi.