Rais Samia kutembelea Kenya kwa ziara ya siku mbili

nshaelewa watanzania hatujui tunachotaka ndio mana watawala wanatupa chochote wanachotaka
 
Haya msukuma wa Chato ndani ndani hukooo. Dah umeandika huku unakaza msuli wa shingo ukisindikiza na matamshi ya kisukuma basi ni balaa tupu.
Sawa wewe ni mzanzibari,tumewapeni nchi mtawale, lakini hauwezi kutuzuia kutoa maoni yetu kisa ni wasukuma.
Acha uongo!

Uchumi wa Kenya ni imara. Usitulishe matango pori hapa.

Mbona mnapenda kujisifu kwa mabo ya kijinga?
Ingia foram ya Kenya,usome ripoti ya WB soma lipoti 2020-2021 uje hapa udhibitishe uongo wangu,Kenya makampuni mengi yanapunguza wafanyakazi,fatilia vyombo vya habari kenya utajua inakisiwa watu milioni 2 waweza kufa kwa njaa mwaka huu,hapo kuna uchumi?
 
Hivi Man U mnakwama wapi lakini??
Samahani lakini
 
Usiandike ambacho hukijui.
Uchumi wa Kenya uko juu na wala tusipepese macho. Jiulize kwa nini Kenya ina makampuni zaidi ya 200 yaliyowekeza Tanzania na je Tanzania wana Makampuni mangapi yaliyopo Kenya? Nchi zote za Afrika Mashariki ni soko la bidhaa za Kenya. Uchumi haudanganyi.

Angalia takwimu za bajeti za Afrika Mashariki kwa mwaka 2019/20; Kenya Tsh 66.8 Trilion, Uganda Tsh 23.6 Trillion na Tanzania 30.4, Rwanda Tsh 6.8 Trilion, Burundi 1.8 Trilion na South Sudan Tsh 3.5 Trillion (ambayo jumla ya yote ni Tsh 66.1 Trilion). Picha unayopata ni kwamba uchumi wa Kenya ni mkubwa kuliko nchi zingine zote 4 za Afrika Mashariki yote zikiwekwa pamoja.
 
We ni tope tupu kichwani,uchadema uko wapi hapo?
 
Basi wanafeli sana!

Ndio maana nilikuwa nauliza swali humu kwamba hivi chadema adui yao ni ccm au Magufuli?
Nini msingi wa swali lako?huna hoja...mtu ameleta taarifa ya raisi kulihutubia bunge la Kenya,wewe unaleta eti magufuli sijui chadema,sijui Nini?aisee
 
Ni fahari kuhutubia Taifa jirani ambalo mna share mpaka kwa zaidi ya 1000 km na linakupita kiuchumi na kimiundombinu.

Yunashukuru yule Punguani Mwendazake ameondoka maana hakujua diplomasia ya uchumi ni nini
 
Acha wivu kinyongori wako marehemu hata kuhutubia shule ya sekondari alikuwa hawezi. Kwanza kwa kingereza kipi?
[emoji23][emoji23][emoji23]Machadema mna hasira sana mkiguswa kunako
 
Ni fahari kuhutubia Taifa jirani ambalo mna share mpaka kwa zaidi ya 1000 km na linakupita kiuchumi na kimiundombinu.

Yunashukuru yule Punguani Mwendazake ameondoka maana hakujua diplomasia ya uchumi ni nini
Uchumi upi imara huko kenya?

[emoji23][emoji23][emoji23]Machadema acheni kujishusha namna hii
 
Uchumi upi imara huko kenya?

[emoji23][emoji23][emoji23]Machadema acheni kujishusha namna hii
Mimi mwana CCM lakini nasimama kwenye ukweli. Kama huijui Kenya na huwezi kuchukua time ku Google kwenye simu yako basi mjadala utakuwa mgumu
 
Nimewakuta pahala walifanya mpango wa kifunga mashine yankukua alizeti juzi huku kwenye chocho
 
Mimi mwana CCM lakini nasimama kwenye ukweli. Kama huijui Kenya na huwezi kuchukua time ku Google kwenye simu yako basi mjadala utakuwa mgumu
Umehamia CCM lini wewe mwana saccos?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…