Rais Samia kutembelea Kenya kwa ziara ya siku mbili


Wewe kijana mtu wa hovyo sana na ujuaji wako ni wa hivyo pia. Katika diplomasia na uhusiano wa kimataifa, hakuna heshima zaidi anapewa kiongozi wa nchi kama kuhutubia bunge na nchi mualika!! Bunge ni chombo cha maaamuzi ya nchi. Usichukulie Bunge letu lilivo na ukadhani na mabunge ya nchi nyingine yako kama letu. Dharau kwa Bunge letu usilipeleke kwa mabunge ya nchi nyingine!!

Sijazungumza kama mpenda siasa hapa (sikuwahi kuwa muumini wa siasa). Chadema wamejidharauje kwa wakenya? Ndio wamemtuma mama akahutubie? Au unasema Rais kwenda kuhutubia Bunge la Kenya ni dharau kwake?? Watoto wa siku hizi mnakwama wapi? Ujinga kushoto kulia na katikati!!
 
Unasemaje kuhusu mwenda zake kutumia kisukuma katika mikutano yake?
 
Tatizo lake ni kwamba anayehutubia siyo Jiwe, na kwamba hakuwahi kupata bahati kama hiyo. Hivi nchi gani ingekubali bunge lake lihutubiwe hotuba kama zile.......
Na wangemwalika akautubie bunge ungesikia anamwambia spika hawa wabunge wakikubishia fukuza haiwezekani serikali iwalipe mishahara minono halafu wapinge bajeti huo ndio ukweli...........
 
Uhalisia ni GDP hayo mabajeti huwa ni ya uongo, jiulize tz mnakusanya sh? kwa mwezi sasa hiyo trilion 30 inatoka wapi.
 
Mkuu huyo jamaa ni MJINGA SANA,UCHAMA UMEMKAA KICHWANI MPAKA UMEPOFUA MACHO
 
Anaenda kuidai Mombasa ! Kama ana ubavu wa hilo ?
 
Mama Samia asisahau kwenda na barakoa wakenya wanaabudu miungu wawili mungu wa kwanza ni Corona wa pili ni barakoa
 
Aliwahi kutokea mmoja hata kuongea na waandishi wa habari tena wa kihaya pale Uganda alishindwa! Nini maoni yako juu ya tukio lile?[emoji851][emoji851][emoji851]
muda wa kuongea anapata wapi!!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwamba anaumia samia kuhutubia bunge!!!

mara nyumbu mmeshakuwa wafiasi wa samia ghafla[emoji16][emoji16]
mmesahau vita ni kwa ccm.
 
Hivi nani aliyepata hasara zaidi? Aliyefungia lakini yupo hai au aliyeidharau corona, halafu ikamwondoa Duniani?
wewe paka,nani kakwambia corona imeua kiongozi tz!!!

halafu siku hizi haipo!!!!
 
uzuri ni kwamba nyinyi ni kama watoto waliodelezwa,mnakuwaga wa kwana kulia.

tupo hapa,wacha tuone huyu mama anataka nini.
 
Vifaranga kiberiti.
 
Acha uongo!

Uchumi wa Kenya ni imara. Usitulishe matango pori hapa.

Mbona mnapenda kujisifu kwa mabo ya kijinga?
uchumi imara unaujua wewe,au unadha uchumi ni nguvu za kiume[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nchi mbili na siku arobaini😊☺️
====
Namtakia safari njema Rais wetu mpendwa. Amiin.
 
Uhalisia ni GDP hayo mabajeti huwa ni ya uongo, jiulize tz mnakusanya sh? kwa mwezi sasa hiyo trilion 30 inatoka wapi.
Nimelinganisha bajeti kwa bajeti ili kujenga hoja. Sasa wewe sengobad lete data za GDP za Kenya na Tanzania, ndiyo utashangaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…