Rais Samia kutunukiwa Shahada ya Heshima na Chuo Kikuu cha NASARAWA cha Nigeria, leo Aprili 11, 2026

Rais Samia kutunukiwa Shahada ya Heshima na Chuo Kikuu cha NASARAWA cha Nigeria, leo Aprili 11, 2026

"Mbashara"?
Hii nayo imekuwa ni kampeni?

Watu waliojaa uchafu, hata uwasafishe kwa dodoki la chuma uchafu hauondoki.

Huyu damu ya waTanzania inazidi kumlaani, na itaendelea kumsumbua uhai wake wote hata afanye mazingaombwe ya namna gani!

Sasa baada ya kuasili mtoto na huu upuuzi wa digrii, nini kitafuata?.
 
Who is Nyerere!
Kama yeye hakuitwa Dr. ndo iwe haramu kwa wengine?
Haya, Nyerere aliacha watoto walevi, je tuige nalo
Ala!

Je Nelson Mandela, Michael Jordan, Oprah winifrey, Baraka Obama, Kanye West wote wana watoto walevi?
 
Ala!

Je Nelson Mandela, Michael Jordan, Oprah winifrey, Baraka Obama, Kanye West wote wana watoto walevi?
FB_IMG_1775921446374.jpg
 
Bora Nyerere aliacha watoto walevi, mbona wengine wameacha mashoga na wasagaji.Na wewe wa kwako hujui utaacha kituko gani,
So nothing special to Nyerere. Wengine wameacha mashoga na Nyerere kaacha walevi
 
Utaanzia wapi kumlinganisha, 'intellectual' Nyerere na takataka kama hii?; kama wewe mwenyewe si takataka kama yeye Samia!
Hizi ndo lugha zenu huko CDM siku hz. Lazima mtakuwa na training flan mmeanzisha.
 
Are you arguing for the sake of it? Other than those two idiots, who else in the world embraces that falsehood?

Most, if not all, world leaders have honorary doctorates, but they don’t hold themselves out as doctors!
Nimeuliza kwa kifupi tu, who's Nyerere!
 
In this context, the name of Nyerere is just a placeholder for a name of anyone who doesn’t embrace falsehoods! There are plenty of them!
Hujui kiingereza. Umeandika English ya darasani ya kukariri.
Anyway, Nyerere hakuwa Malaika. Ana maovu yake mengi tu
 
Hujui kiingereza. Umeandika English ya darasani ya kukariri.
Anyway, Nyerere hakuwa Malaika. Ana maovu yake mengi tu
So, all you could muster is one English word, “anyway”? Who said Nyerere was an angel?
 
Back
Top Bottom