Rais Samia kutunukiwa Shahada ya Heshima na Chuo Kikuu cha NASARAWA cha Nigeria, leo Aprili 11, 2026

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
IMG_5585.jpeg
 
Nyerere alitunukiwa zaidi ya Shahada za uzamivu 20 za heshima, na bado hakuwahi kujiita/kuitwa Daktari Julius Kambarage Nyerere! Ali Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa nao walitunukiwa shahada chache za aina hiyo, na wenyewe hatukuwahi kusikia wakijiita/wakiitwa Madaktari!

Shughuli ilianzia kwa Mzee wa Msoga, na huyu Kizimkazi!! Chawa utawasikia "Naomba kumshukuru Daktari ............ Kwa kutupatia bilioni... Kwa ajili ya ujenzi wa takataka gani sijui"!!!!

Ukiuliza huyo Daktari ni wa PhD au binadamu/mifugo? Unaambiwa eti ni daktari wa heshima!!!
 
Hivi haya mashahada huwa yanaongeza nini? Kwa muhusika kwa taifa? Ni CV za wazee? Ina tija gani kwa ujumla maana naona watu weusi tu ndio big deal kwao, wazungu wanapeana kwenye graduations na hutasikia imetangazwa mahali popote kwenye media labda kwenye website za chuo
 
Nyerere alitunukiwa zaidi ya Shahada za uzamivu 20 za heshima, na bado hakuwahi kujiita/kuitwa Daktari Julius Kambarage Nyerere! Ali Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa nao walitunukiwa shahada chache za aina hiyo, na wenyewe hatukuwahi kusikia wakijiita/wakiitwa Madaktari!

Shughuli ilianzia kwa Mzee wa Msoga, na huyu Kizimkazi!! Chawa utawasikia "Naomba kumshukuru Daktari ............ Kwa kutupatia bilioni... Kwa ajili ya ujenzi wa takataka gani sijui"!!!!

Ukiuliza huyo Daktari ni wa PhD au binadamu/mifugo? Unaambiwa eti ni daktari wa heshima!!!
Who is Nyerere!
Kama yeye hakuitwa Dr. ndo iwe haramu kwa wengine?
Haya, Nyerere aliacha watoto walevi, je tuige nalo
 
Are you arguing for the sake of it? Other than those two idiots, who else in the world embraces that falsehood?

Most, if not all, world leaders have honorary doctorates, but they don’t hold themselves out as doctors!
 
Hizi ndiyo njia mpya zilizobuniwa kulaghai watu na kuwasahaulisha maovu ya hawa mashetani?

Kombo alitembelea huko lini kwenda kununua upuuzi huo

Sasa huo udaktari wa mchongo utawasaidia kitu gani waTanzania.

Waje wamchukue basi wakapambe chuoni kwao
 
Back
Top Bottom