Ni wewe uliyenipeleka huko CDM, wewe ni nani wa kunipangia?Hizi ndo lugha zenu huko CDM siku hz. Lazima mtakuwa na training flan mmeanzisha.
Ni wewe uliyenipeleka huko CDM, wewe ni nani wa kunipangia?Hizi ndo lugha zenu huko CDM siku hz. Lazima mtakuwa na training flan mmeanzisha.
Usipaniki dogo!Ni wewe uliyenipeleka huko CDM, wewe ni nani wa kunipangia?
Kiingereza chako bhana, chankumbusha nlipokuwa class fiveSo, all you could muster is one English word, “anyway”? Who said Nyerere was an angel?
I never set foot in a classroom, if you care to know that aspect! What else?Kiingereza chako bhana, chankumbusha nlipokuwa class five
Hapo sasa ndo kama uneandika definition flan hv ya kukaririI never set foot in a classroom, if you care to know that aspect! What else?
Unajua unachokiandika lakini?Ni kama tu amazon au new horizon vya hapa kwetu, ukienda na buku zako 20 udakitari unavishwa, na nigeria kuna vyuo vingi vya hovyo hovyo,ndivyo vinavyotoa hizo honorary papers hovyo hovyo.
Huu uchizi utakoma.Usipaniki dogo!
Utachizika kweli. Mana siku hazigandi, unazeeka kwa kasi sana kwa kuwaza lini Samia atatokaHuu uchizi utakoma.
Siyo "Samia atatoka"; Samia hana maisha tena!Utachizika kweli. Mana siku hazigandi, unazeeka kwa kasi sana kwa kuwaza lini Samia atatoka
Nikafikiri ni chuo kikuu cha Harvard 🚶🚶🚶
Mi nilijua nasarawa ni aina flani ya dawa za kienyeji..!Nasarawa ndo chuo gani?
Unachekesha wewe.Siyo "Samia atatoka"; Samia hana maisha tena!