Rais Samia kutunukiwa Shahada ya Heshima na Chuo Kikuu cha NASARAWA cha Nigeria, leo Aprili 11, 2026

Ni kama tu amazon au new horizon vya hapa kwetu, ukienda na buku zako 20 udakitari unavishwa, na nigeria kuna vyuo vingi vya hovyo hovyo,ndivyo vinavyotoa hizo honorary papers hovyo hovyo.
Unajua unachokiandika lakini?

Kama unachuki ya mh. Rais kupewa phd ya heshima isikufanye uwe mjinga kupitiliza

Unakijua hicho chuo vizuri au unafurahisha mdomo wako?
 
mkuu umeona isiwe tabu umeacha picha tu huna maelezo kabisa ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Siyo "Samia atatoka"; Samia hana maisha tena!
Unachekesha wewe.
Ushasahau kuwa kuna watu walisema kama wewe kwamba Lowassa hana maisha tena wakatangulia wao!? Sio ajabu ht wewe ukamwacha Samia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ