Mkuu 'Mmawia', ukitaka tuelewane katika mambo haya, achana na ujinga huu.Sukuma gang mnatia sana huruma kudadeeki
Wewe siku zote, siku nyingi sana humu tumejibishana mara nyingi tu vizuri, na ninazo 'likes' zako nyingi sana ulizowahi kunipa.
Halafu leo unageuka na kunipa lebo ua u-'gang'.
Hii haionyeshi tabia mbovu kabisa uliyonayo wewe mwenyewe, na kwa bahati mbaya, wengi wenu mlioko huko ndani ya CHADEMA, kwamba ni wachumia tumbo tu, ambao siyo tofauti kabisa na hao tunaowasema hapa kuwa wapo ndani ya CCM?
Hii ndiyo sura halisi ya CHADEMA na sasa imejitokeza bayana, kila mtu ajionee mwenyewe.