Rais Samia kuwatakia Watanzania Heri ya Pasaka huku hawana uwezo wa kula pilau na nyama ni ubatili

Wapi imeandikwa Pasaka inaendana na pilau na nyama. Au wewe ni mmojawapo ya ambao huwa "mnakula sikukuu" badala ya kuadhimisha sikukuu
Muuza Kangara analalama,ila nina shaka kama ameweza kuwakumbuka japo kwa kidogo alicho jaaliwa kwa wasio nacho🤔
 
Anataka tuliombee taifa amani na utulivu wakati yeye anazorotesha utulivu kwa kushindwa kudhibiti mfuko wa bei na kutowachukulia hatua wala rushwa na kuishia kuwaambia tu stupid.
 
Sawa. Last supper
Last supper maana yake ni chakula cha mwisho cha jioni.

Pasaka haimaanishi sikukuu au karamu. Ndiyo maana ukitaka kufanya sikukuu kwaajili ya kukumbuka siku hiyo, tunasema umefanya sikukuu ya kusherehekea Pasaka. Lakini maadhiminisho ya pasaka yenyewe haimaanishi sikukuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…