Rais Samia kuwatakia Watanzania Heri ya Pasaka huku hawana uwezo wa kula pilau na nyama ni ubatili

Rais Samia kuwatakia Watanzania Heri ya Pasaka huku hawana uwezo wa kula pilau na nyama ni ubatili

Hicho kidogo alichotupa ni nini? Kununua mchele Tsh 3500?
Mchele kilo 3500 nusu kilo 3500/2 = 1800 robo 900

Sasa wewe angalia unafika wapi hapo kusanya 1800 nunua nusu kula shida nini mkuu si ndio unapofikia hapo au kuna shida gani? Wali kilo 1 unamaliza au unajua wali kilo 1 zinajaa plates ngap?
 
Anataka tuliombee taifa amani na utulivu wakati yeye anazorotesha utulivu kwa kushindwa kudhibiti mfuko wa bei na kutowachukulia hatua wala rushwa na kuishia kuwaambia tu stupid.
Tatizo la uchumi ni kubwa kuna mambo mengi sana yanatakiwa yafanyiwe kazi hatuna uwanja mpana wa mijadala ya kitaifa wachache waliopo hudhani wana uwezo wa kufikiri kuliko wengine mfano mimi nimebuni kwanini biashara zinakufa na nini kifanyike, ubunifu wangu unakuja ndani ya miezi michache ijayo na mshukuru Mungu kwa kila jambo. moja ya sababu kwanini biashara zinakufa ni maamuzi ya kisiasa
 
Kuvipata ndio tabu. Wewe mlamba asali kula raha

Amani katika nchi inayokabiliwa na njaa/umasikini uliokithiri ni nadra sana! Tusijidanganye kwa Amani ya kusadikika kuna siku watu ustaarabu utawashinda and it will be too late; na majuto yatakuwa mjukuu!!
 
Back
Top Bottom