Rais Samia kuwatakia Watanzania Heri ya Pasaka huku hawana uwezo wa kula pilau na nyama ni ubatili

Rais Samia kuwatakia Watanzania Heri ya Pasaka huku hawana uwezo wa kula pilau na nyama ni ubatili

PASAKA ni sikukuu na inaendana na sherehe ,Musa Aliwatoa Waisraeli Misri kwa sherehe ,We PassOver lazma tule na Tunywe
 
Watu hawana raha kabisa. Maana hata maharage tu yamefikia elfu tatu na ushehe.

Watu wana maisha magumu na wanajiona kama wakimbizi hapa nchini kwao.

Hii salamu haisaidiiView attachment 2582027
Nadhani una fhuki kali sana aisee

Mtu kukutakia sikukuu njema haihusuani kabisa na pesa

Hata wafungwa na wauwaji hutakiwa sikukuu njema
 
Anataka tuliombee taifa amani na utulivu wakati yeye anazorotesha utulivu kwa kushindwa kudhibiti mfuko wa bei na kutowachukulia hatua wala rushwa na kuishia kuwaambia tu stupid.
Wala rushwa hawajawahi kuchukuliwa hatua, kinachofanyika ni kuwafunga midomo vihere here tu, piga faini, 25m, piga cheo viherehere, tikisa tikisa viherehere. Kazi kwisha kama sio mwendo umemalizwa😂😂😂
 
PASAKA ni sikukuu na inaendana na sherehe ,Musa Aliwatoa Waisraeli Misri kwa sherehe ,We PassOver lazma tule na Tunywe
Kwahiyo Samia badala ya kuwatakia heri kwenye Pasaka awapikie pilau na kuku au sio. Ndio hoja ya mleta mada
 
Hii salamu haisaidii
Emu acha habari zako mkuu wewe unatakaje unataka aje akupikie nyumbani kwako au agawe ubwabwa bure pale Kareemjee ndio uone amekufanyia la maana? You people mbon hamshukuru hata kwa kidogo mnachopewa?
 
Hicho kidogo alichotupa ni nini? Kununua mchele Tsh 3500?
 
Back
Top Bottom